Tulonge

Video: Mfalme Mswati wa Swatzland alipowasili Dar jana


Mfalme wa tatu wa Swatzland amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake makamu wa rais Dkt Ghalib Bilali aliyeambata na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernad Membe.

Views: 672

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on June 28, 2013 at 15:45
ANGELA... Hiyo ni tabia mbaya ya kuabudu, eti barabara inafungwa sababu ya viongozi. Africa hatutoendelea kwa tabia hiii mbaya ya kuabudu viongozi.
Comment by MGAO SIAMINI,P on June 28, 2013 at 13:03

Afrika itaendelezwa na waafrika wenyewe sio wageni na kuna uhusiano imara kati ya utawala bora na maendeleo. Hongera mfalme mswati umetokelezea.

Comment by ANGELA JULIUS on June 27, 2013 at 16:31

inasikitisha sana kwani sijaona sababu ya kufunga baadhi ya barabara, vichaa wote wamewekwa ndani kwa muda, wafanya biashara ndogondogo viambazani wote kwishiney yani mjini hakufai kabisa wamesafisha kweli sasa najiuliza kama wanaweza hv kwa nini isiwe hivi siku zote hadi viongozi wakubwa waje? yani maswali kibao

Comment by Geoffrey Masai on June 27, 2013 at 12:53

Nilizani atwasili na wake zake.

Comment by Mama Malaika on June 27, 2013 at 11:42
Huyu jamaa anachonifurahisha na kusomea kwake kote magharibi, bado ana utambulisho na kuthamini mavazi ya kwao.
Comment by Mama Malaika on June 27, 2013 at 11:11
Sirikali ya Tanzania ingezingatia kudumisha miundo mbinu matatizo haya yote kuvuruga ratiba za watu kwenda makazini yasingekuwepo. Pia huo uhalifu viongozi wa TZ wanao hofia kutia aibu nchi mbele ya mgeni Obama inaonyesha ni jinsi gani Tanzania HAINA amani bali viongozi wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa Tanzania ni nchi ya amani.
Comment by David Edson Mayanga on June 27, 2013 at 10:44

YANI NDG @CHRISTER SISI TUPO NYUMA KABISA UKITAZAMA HATA KAURI YA KOVA INASEMA KUWA WANAJITAHIDI KUWAKAMATA WAHARIFU AMBAO WANAHISIWA KUWA WANAWEZA LETA FURUGU AMBAZO ITAKUWANIAAIBU KWA MGENI OBAMA .CHAKUJIULIZA KUWA KUMBE HAWA POLISI WANWAJUA WAHARIFU WOTE AU. PIA UGENI WA RAISI MMOJA AU WANNE USIKWAMISHE MAENDEREO YA JAMII KWAUJUMLA HAIWEZEKANI.

Comment by Christer on June 27, 2013 at 8:07

Mimi kwakweli nchi hii naona imeoza, hivi watu waahirishe mipango yao ya kazi, biashara, na mambo yoote eti kisa wageni sasa kazi/biashara zao zilale hao wageni wanawaletea hela za kulisha familia zao? Nonsense!!!!!!!!!!!!!!!!

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*