Dondoo za hotuba ya Rais Kenyatta
-Magaidi watano wameuawa
-Wanajeshi watatu wa KDF (Kenya Defence Forces) wameuawa
-11 washikiliwa kwa mahojiano kuhusu tukio hilo
-Atangaza siku tatu za maombolezo kuanzia kesho
-Wanausalama 6 wameuawa
-62 wajeruhiwa na wanaendelea na matibabu
-Zaidi ya milioni 60 za Kenya zachangwa ksaidia katika tukio hili
Bofya hapo chini kupata hotuba ya Rais Kenyatta
President-Uhuru-Kenyatta-s-Address-to-the-Nation-at-the-Conclusion-...
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge