Tulonge

Vikongwe wafunga ndoa baada ya kuishi maisha ya uchumba kwa miaka 80

Vikongwe Bw. Jose Manuel Riella(103) na mkewe Martina Lopez (99) raia wa Paraguay waliamua kufunga pingu za maisha kanisani hivi karibuni baada ya kuishi maisha ya uchumba kwa miaka 80.Walianza kuishi kama wachumba toka mwaka 1933.Haikufahamika nini kiliwafanya wachelewe kuchukua uamuzi huo. Hadi sasa vikongwe hao wana watoto 8, wajukuu 50, vitukuu 35 na vilembwe 20.

Views: 967

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Wa Kimberly on November 8, 2013 at 19:01

Safi sana.

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on November 8, 2013 at 18:18

Inapendeza jamani. Hawa wametimiza amri ya Mungu.

Comment by ANGELA JULIUS on November 7, 2013 at 11:43

dah sina usemi ila hapo ni siri kubwa sana wenyewe wanaifahamu. naimani wana watoto wakubwa sana nao si ajabu ni vikongwe kama wao wenyewe dah niishie hapa yote ni maisha tuu.

Comment by Severin on November 6, 2013 at 23:37

Wewe mzee hebu acha vituko vyako, yani umekula mzigo miaka 80 leo ndo umekumbuka ndoa hahaahhhahahaa

Comment by Zainabu Hamis on November 6, 2013 at 20:15

Rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! rrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

what's looooooooooooooooooooooove? got to...................

Comment by habiba mustafa mlawa on November 6, 2013 at 8:54
hahhaha hii kali miaka 80 nn wanazini che, bora wangekaa hivyohivyo maana isije wakaona baada ya uchumba wa miaka 80 kisha wakaachana teh
Comment by Lucas Mwakajinga on November 6, 2013 at 8:19

Uamuzi mzuri na Mungu amewajalia kuishi miaka mingi

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*