Tulonge

VIONGOZI WA DUNIA WAUNGA MKONO ELIMU KWA WASICHANA

Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban Ki-moon,waziri wa mambo ya kigeni wa marekani Hillary clinton,waziri mkuu wa bangladesh shekh Hasina pamoja na waziri mkuuwa mali Cisse mariam kaidama sidibe ,wameungana na viongozi wengine kutoka kote duniani kwenye uzinduzi wa mpango wa kuunga mkono elimu kwa wasichana mjini paris.

Wasichana mil 39 kutoka kote duniani walio na umri wa  kuwa wanafunzi kwenye shule za upili kwa sasa hawajajiunga na masomo ya msingi wala ya upili kote duniani huku theluthi mbili ya watu mil 796 wasiojua kusoma wala kuandika wakiwa wanawake

 

Views: 453

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on December 15, 2011 at 13:37

nimeikubali

Comment by Christer on December 14, 2011 at 21:11

Elimisha Mwanamke, elimisha Dunia

Comment by Mama Malaika on December 14, 2011 at 15:47

Great news!

Comment by Tulonge on December 14, 2011 at 14:15

Nimeipenda hii mkuu,safi sana

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*