Tulonge

Wabeba jeneza wakicheza muziki kwa mbwembwe wakiwa wamebeba jeneza

Views: 482

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on January 15, 2013 at 12:15

Hahahahahahahahahhaahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. umenichekesha saaaana

 Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. wrote: 'hata shetani itafikia kipindi atahoji haya nani katufundisha kama yeye hayajui'

Comment by Tulonge on January 15, 2013 at 8:26

Hahahahahhaaa mkuu Lyehagi inamaana kuna watu huwa wanakodishwa ili wakalie msibani? Hiyo kali aisee. Kwani ni lazima watu walie msibani?

Comment by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. on January 14, 2013 at 20:49

So dunia ndo imefika hapa? Kweli hata shetani itafikia kipindi atahoji haya nani katufundisha kama yeye hayajui. Ndo maana tunakodishana kulia misibani kwa sasa,

Comment by Tulonge on January 14, 2013 at 15:01

Mkuu Kayay jeneza siyo jepesi aisee.Si unaona jamaa walivyo jikaza.Halafu hata walipo bonyea chini wanaonekana walikaza miguu sana.Labda kama waliweka mawe ndani ya jeneza.

Comment by Christer on January 14, 2013 at 14:42

Inapendeza, Analogia au Digitali?

Comment by Kayay Faiz Junior on January 14, 2013 at 13:43

mbona jeneza lenyewe linaonyesha kama jepeesi mno...?au la ma box ..?

Comment by Regina Lipyana Haule on January 14, 2013 at 13:08

duu hii kali

Comment by letty peter on January 14, 2013 at 8:49
Asante kwakunijuza ndugu yangu...maana west Africa hua inanichanganya najisahau kua kunanchi nyingine kwakua naija inanguruma sana...wananguvu hao kama vile wanaenda vitani duh!halafu sidhani kama hata wamebeba mwili wa mtu hapo..maana wanavyoji stepisha!
Comment by Dixon Kaishozi on January 14, 2013 at 8:48

Mmmmh....

Comment by Severin on January 13, 2013 at 6:54

Hahahahhaahhaaa hiki kituko, cjui walifanya mazoezi wapi.Halafu wana nguvu kweli

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*