Wabunge sita wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema akiwemo mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni wamesimamishwa Kushiriki katika shughuli za bunge kwa siku tano baada ya kutokea hali ya sintofahamu bungeni April 17,2013 wakati mkutano wa 11 ukiwa katika kikao chake cha nane ukiendelea,hali iliyomlazimu naibu spika wa bunge Job Ndugai kusitisha shughuli za bunge katika hali isiyo yakawaida
Add a Comment
Watafanya madudu yao yote kwa kutumia ubabe.. Lakini Watanzania tunaona na tunaujua ukweli.. Hata wawatoe wapinzani wote.. Ukweli unabaki pale pale.. Na bakora yao tunaijua.. Sisi watanzania ndio tutakao waadhibu hayo Ma- ccm!!
Mbona Lukuvi na mwanasheria wa serikali walisimama kuomba utaratibu na muongozo zaidi ya LISU Kosa la lisu lilikua ni lipi? CCM hawana uwezo wa kujenga hoja ndo maana wakishindwa wanalindwa na kiti cha speaker kwa kutumia nguvu. UKWELI UNAISHI MILELE.......mabadiliko yanakuja
mwaka huu kitaereweka tu yani nyie ccm mlikuwamnatuburuza sana kwamiaka mingi sasa kazi ipo nzito kwa mwaka huu na ujao
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge