Tulonge

Wabunge wa upinzani watoka nje wakidai maamuzi ya spika yanaelemea upande mmoja

Wabunge wa kambi ya upinzani bungeni wamekitunishia misuli kiti cha Spika kwa kutoka nje kwa kile walichodai kuwa kiti hicho kimekuwa kikitoa upendeleo wa wazi kwa kuubeba upande wa serikali.

Views: 626

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by william massawe on February 5, 2013 at 14:21

BOB-MARLEY alisema"you can fool some people some times,BUT,you can not fool all the peole ALL THE TIMES!!!!!!.........

Comment by Mama Malaika on February 2, 2013 at 23:58

komaeni ndugu zangu watanzania kuikomboa Tanzania. Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!

Comment by MGAO SIAMINI,P on February 2, 2013 at 22:56

maspika hawatakiwi kutoka chama cha siasa lakini vinginevyo haiwezekani labda tundamane kama mtwara

Comment by Dunda on February 2, 2013 at 15:55

Bunge linazidi kuchangamka siku hadi siku

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*