Tulonge

Wadau ni kweli hii ni timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) enzi hizo?

Rais Nimery wa Sudan akikagua Taifa Stars walipocheza na Sudan Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mwalimu Nyerere ambaye aliongozana na Rais huyo toka siku hiyo hakukanyaga tena uwanjani kuwaona Taifa Stars. Haikumuingia akilini kwa nini timu ya Taifa ikose jezi siku kama hii.

Nimeikuta sehemu hiyo picha ikiwa na maelezo hayo hapo juu. Wadau wa miaka hiyo mnaweza kutujuza kama hii ni kweli ilikuwa timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars). Maana nimeiangalia picha hii nikashindwa kuelewa kama ni kweli au utani.

Views: 742

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Geoffrey Masai on March 12, 2013 at 23:34
hii picha siiamini kabisa, nyerere hasinge vumilia kabisa angeweza hata kuhairisha mashindano, we ona hata bukta zao utazani chupi za mikijo.
Comment by MGAO SIAMINI,P on March 11, 2013 at 11:24

TAARIFA HIYO KAMA NI KWELI INGESEMA NI MWAKA GANI KWANZA TIMU YA TAIFA ILIVYOUNDWA TULIKUA NA MAZINGIRA MAZURI HISTORIA INAONYESHA WANATUCHAFUA @D

Comment by Christer on March 11, 2013 at 9:36

Teheteheee

Comment by Tulonge on March 11, 2013 at 0:19

Kama jezi hawana, viatu watakua navyo kweli?

Comment by mohamed selemani kilumba on March 10, 2013 at 23:50
nahiyo timu ndio ilimfanya nyerere asiende tena kuangalia mpila kutokana natimu ya taifa kucheza vifua wazi
Comment by ILYA on March 10, 2013 at 23:17

Hapana bwana ,kwana hawa wachezaji mbona hawajaka kisoka zaidi na wamekaa kikongomani zaidi,yani hapo nikama walikuwa wakisakata goma la awilo Longomba na sio soka.Ingelikuwa kweli ni Timu ya Taifa kweli ya Kibongo basi bila shaka hata picha ya Mheshimiwa Nyerere ingelionekana na sio mheshimiwa huyo wa Sudani tu .!Hapo naweza kusema Big No.!ingawa zama hizo nilikuwa bado sijaliona jua.

 

Comment by Tulonge on March 10, 2013 at 22:58

Pa1 Steward, ngoja tuwasubiri wengine wanasemaje?

Comment by steward kalinga on March 10, 2013 at 22:44

Bro sio kweli juc a joke

Comment by Tulonge on March 10, 2013 at 22:44

Sasa walikua wanaandikwa namba migongoni mwao? au hakukua na haja ya namba enzi hizo?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*