Add a Comment
Hii ndo adventure ya ukweli.............killing up the big funs for fans....
HAHA haha haha we Dis kweli bangi,lkn ujue wazungu bhana wana akili mpk zimewazidi wanapenda kufanya mambo ya ajabu ajabu sana
ukiangalia hizo bembea kwa umakini utaona kuwa wala hawaipandii juu ndo wakalie hicho kitako ikitulia ikakaa sawa utaona anapandia chini bembea ikishachanganya lazima upae mbali na hapo kinachotisha ni hiyo mandhali ya eneo kunaonekana ni milima na mabonde na huko juu ni sehemu waliposet hiyo bembea ni picha tuu ndo inatisha lkn nina uhakika wameanzia chini.
Unajua Mkuu Tulonge, Wazungu sio waoga kabisa kwa mambo ya hatari kama haya....hawaogopi kufa kabisa. Yaani ukiona vitu vya hatari wanavyofanya mpaka utashangaa kabisa na kuogopa sana. Yaani mimi huwa naangalia mpaka nasema basi, hasa michezo ambayo huwa wanafanya ya ajabu ajabu tu....mpaka unashindwa kuelewa. Lakini wao ndo walivyo, hawana shida kabisa kwa mambo ya hatari....hawaogopi kabisa. Angalia sasa kama hapa ilivyo hatari...lakini wao kama mchezo tu! Na huwa wakati mwingine kweli wanakufa kabisa, ndipo wanaacha ....lakini vinginevyo hawaachi.
hawa jamaa sio waoga
Unafanya mchezo ww Angela, hapo huwezi nishawishi hata kwa dawa.Kifo nje nje hapo
hii inanikumbusha jamaa mmoja alikuwa anafanya ule mchezo wa kuruka kwenye mabonde marefu huku ukiwa umejifunga kamba mguuni na hii ilitokea kwenye maporomoko ya Victoria ya mto Zambezi akiwa hewani si ile kamba ikakatika lakini bahati nzuri wa okoaji wakamuwahi akaokolewa kwa hiyo hizo kamba siyo za kuziamini kabisa.
Tulonge hizo bembea wala si hatari vile unavofikilia wewe umeona picha zilizopigwa kwa mbali ndo mana umetishika na hata kama ikitokea imekatika kufa hafi ila maumivu atakayoyapata mwaka mzima hoi bin taaban lkn pia ukicheki hizo kamba ni imara na zimefungwa kwa ustadi wa hali juu halafu wenzetu unaweza kukuta wamezikatia na bima ha ha ha
© 2021 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge