Hivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Ukumbi huu wa Nyumbani Lounge,Namanga jijini Dar es Salaam ambapo leo hii kuna bonge moja la show la Mwanadada mkongwe kwenye tasnia ya muziki hapa nchini,Lady Jay Dee ambaye anatimiza miaka 13 tangu alipoanza kazi yake ya muziki.katika show hii wanamuziki mbali mbali akiwemo Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mijini.
JiyDee akisubiri kwa hamu kwenda kufanya makamuzi jukwaani
Chanzo: Mtaa kwa Mtaa Blog
Add a Comment
Anaconda
Hahahahaa.. Dismas umenimaliza na kauli yako " ila sasa ndo umewapa mahasira.Wataikomalia ile kesi balaa" Hahahahahaaa
wewe ndio komandoo, umewamaliza jukwaani sasa tunaenda kuwagalagaza mbele ya pilato
Umetish Jide, ila sasa ndo umewapa mahasira.Wataikomalia ile kesi balaa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge