Tulonge

Watu wawili wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa ktk ajali ya Basi-Magu.


Watu wawili wamefariki dunia na wengine 36 kujeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya wilaya ya Magu na hospitali ya rufaa Bugando Mwanza baada ya basi la abiria la kampuni ya Bunda express walilokuwa wakisafiria kutoka mjini Bunda mkoani Mara kwenda Mtukula mpakani mwa Uganda na Tanzania kupata ajali katika kijiji cha Lugeye wilayani Magu.

Views: 290

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by peter kayogela on January 10, 2013 at 8:50
Hiyo bus ilikua inatoka musoma kwenda bukoba. Ya mtukula iko salama

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*