Tulonge

Wema azindua filamu yake iitwayo "Super Star"

Wema Sepetu akiwa amepozi kabla ya kuanza kuoneshwa demo ya filamu hiyo ndani ya ukumbi wa Kilimanjaro Hyatt Regency usiku wa juzi.

Wadau wakishuhudia uzinduzi huo

Mastaa kibao wa Bongo walikuwepo

Wadau wakiserebuka

Views: 967

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on June 26, 2012 at 15:15
Wema hayo ndio mambo tunayofurahia kuyasikia kutoka kwako,hayo ndio maendeleo bwana sio kila siku kelele dhidi yako,ukiwa unapiga hatua kama hizo za kujenga hapo utafanikiwa zaidi,sasa achana tena tabia ambazo zitapelekea kuharibu jina lako coz mitandao kibao umetikisa sana kwa tabia zilizokaaa kushoto,sasa badilika kuwa mchapa kazi achana maskendo mwanadada,kwani unayofursa ya kufanya majabu zaidi kisanaa.hiyo ya kuzindua filamu yako imetulia sana na inaweza kukufungulia ukurasa mpya wa maisha yenye heshima.
Halafu ukiwa unavaa jaribu kufunika mapaja basi mdada!,sio unaachia kihivyo!
Comment by CHA the Optimist on June 26, 2012 at 7:27
Hii ndio Tanzania bwana! Dismas akilala na kuamka anataka kuwa muimba muziki. Alfan akilala na kuamka anataka kuwa Mchungaji wa 'full gospel fellowship church'. Si ajabu siku moja tukashuhudia Mzee wa Upako anataka kuwa mcheza mpira wa miguu.
Comment by manka on June 25, 2012 at 18:28

hongera wema, lakini hayo mapaja ni vifinyo vya bibi au mkorogo hadi mapajani?

Comment by ANGELA JULIUS on June 25, 2012 at 14:39

haya nimeona ila kiukweli haujapendeza hata kidogo sababu mkorogo umekuharibu sana na hilo race weave lako utafikili umeokota uwanja wa fisi.

Comment by Tulonge on June 25, 2012 at 7:59

Hongera Wema

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*