Tulonge

Panzi wamfanya Wema Sepetu kukosa amani,awaogopa kama nyoka

KATIKA hali isiyo ya kawaida ya kutozoea maisha ya kijijini, msanii asiyeishiwa matukio, Wema Sepetu, hivi karibuni alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuwakumbutia wazee wa kijijini akikwepa panzi pindi walipokuwa katika ziara ya uzinduzi wa mpango wa Kilimo Kwanza kwa vijana eneo la Kwandelo, Kondoa.

Wakati wakiwa katika harakati za kuhamasisha kilimo kwanza , panzi alianza kuruka ruka eneo hilo ambalo ni sehemu ya shamba hali iliyomchanganya msanii huyo na kuanza kukimbia hovyo huku akijifunika usoni na mkoba wake akikimbilia sehemu waliyokuwa wamesimama wazee.

Hata hivyo baada ya kurejea Dar mwandishi wetua alizungumza na mrembo huyo ambaye alisema kuwa hakuwai kumuona mdudu huyo hivyo hali hiyo ilimpa wasiwasi mkubwa kwa kuhisi anaweza kudhuliwa afya yake

Chanzo: freebongo.blogspot.com

Views: 1264

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on January 18, 2013 at 9:40

Hahahahhahaahhahhaahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa mke mkubwa unamtishia baba M panya? hujatulia wewe. mi kwakweli panya sina urafiki nao kbs, yaan ikitokea siku naona panya ndani kwangu ntalala kwa jirani au hotel kbs maana labda na kwa jirani wapo. NAWAOGOPA SANA!!!!!!!!!!!

Comment by Mama Malaika on January 17, 2013 at 15:45

Ha haa haa haaa.... Christer kumbe ujanja wako wote unaogopa panya. Mie panya siwaogopi ila Baba Malaika awaogopa na hawapendi, tukiwa Tanzania huwa akijifanya mjanja namtishia panya basi anaruka kwa woga na ujanja wake wote kwisheni. Ha haa haa haa....

Comment by Mama Malaika on January 17, 2013 at 15:22

Severin. LOL........

Comment by Alfan Mlali on January 17, 2013 at 15:14

Duh??? @ Severin

Comment by Severin on January 17, 2013 at 14:24

Hapo utashangaa uume hauogopi, wakati ndo una sura mbaya kuliko hao wadudu.

Comment by Christer on January 17, 2013 at 14:23

Hehheheeheheheheheheeeee yaani hii story huwa naisimlia sana na siisahau kwa jinsi navyomuheshimu panya sitaisahau ni true story Alfan, na mdingi hakumind coz mimi ni daddie's daughter!   yaani wakati dad yupo nilikua angel wake mpaka nimekua, alikua hataki hata nitoke home niwe na kwangu, eti mimi bado mdogo siwezi kuishi mbali nae. (Rest in peace my sweet dad, i really miss u)

Comment by Tulonge on January 17, 2013 at 14:18

Hahahahaaaaaa wewe Alfan 99% ya ubongo wako unawaza nanihii tu.Yani kila kitu LAZIMA ukihusishe na ile shughuli.

Comment by Alfan Mlali on January 17, 2013 at 14:04

sasa wewe Christer na ukubwa huo unaenda kuwaharibia wenzio starehe kisa unaogopa panya??? Najua mdingi alimind sana ila akashindwa kusema..tehetehetehetehet

Comment by Alfan Mlali on January 17, 2013 at 14:02

hahahahahaha..Hajawahi kumuona panziiii hahahahahahahahahahah..tehtehetehetehetehetehetehet

Comment by Christer on January 17, 2013 at 8:28

Hahhhahahahahahahhahaahaaa @ Zainabu, huyo hana matatizo kichwani huwa wakikaa muda mrefu hawapati skendo, wanatafuta kisa chochote ili magazeti yawaandike. Ni muongo kbs, kwao ni Sinza ina maana huko sinza na Dar nzima hakuna Panzi? ameishiwa habari huyo! Labda aseme anamuogopa tu ila sio hamjui. mimi ktk wadudu wooote nayemuogopa ni Panya aiseee nakumbuka siku moja aliingia chumbani kwangu usiku wkt bado niko kwetu, nilipiga makelele mpk watu wote wakaamka, baba akawambia kaka zangu wamtoe akajificha usiku huo hawakumpata, nilienda kulala chumbani kwa mama, tena kitanda kimoja na baba na mama tena nilikua mkubwa tu ndo nimeanza secondary, pre-form one. Ila ukiniuliza kwann namuogopa hivyo yaani sielewi, jinsi tu alivyo mimi naogopa, ikitokea mtu siku moja amenishikisha panya kwa nguvu, nitazimia kbs!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*