Add a Comment
Ha haa haaa... mwanivunja mbavu hasa Bonielly na Angela.
Naona bora tufumbe macho (afanyavyo Stevie Wonder) na tusikilize utamu wa music alotuwekea Belita na sio kujali nywele au muonekano wao.
HAHAHAHAHAAAAAAA... sitii neno tena.. hahaaa
Angela party ijayo mi nakutaka wewe sitaki mzungu wala mchina...
hahahahahhaa! We dixon usiweke kwenye kundi la machizi mimi mzima wa afya....lol
angela nitampeleka loliondo kwa babu akapate kikombe,
Hahahaaa.. yani wote humu hamnazo.. mwanipa raha tupu.. Angela, Bonielly sasa naona na Alfan anakuja pia.. hahahahahaaa
NAJUA SANA KUWA NI WEUSI HATA MAMA YAKE HOUSTON NAMJUA NILIONA PICHA YAO WAKATI WAKIPIGA NIGHT DISCO MIAKA HIYO HUJAZALIWA, UKINISOMA VIZURI UTANIJUA NAMAANISHA NINI HALAFU SIJUI KWA NINI UNAPATA NETWORK UKIWA NA KICHAA HA HA HAH A
wewe angela acha ushamba, hakuna mzungu, huyo michael na whitness wote waswahili piwa, we mgeni nini? uliza au unababaika na nywele za michael?
SASA ALFAN INAHUUUUU HATA KAMA WALISHAWAHI KU DO. WEWE ULIEEE TUU NAJUA UNA HAMU NA MZUNGU HA HA HA HA HA HA HA NEXT PARTY NAKULETEA MZUNGU HA HAHAH A
Lkn jamani si mnaiona hii picha hapo,sasa dismas umeiona halafu umechuna tu bila kusema lolote mkuu wa kitellengency,ebu niambie kipi tunajifunza toka kwao hawa ,kipi tushike jamani ,muziki wao, mavazi, ama tabia zao
© 2023 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge