Tulonge

Zanzibar: Rais Dk Shein atoa heshima za mwisho kwa Padri Evaristus Mushi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein leo ameungana na viongozi wa dini, waumini pamoja na wananchi wenye mapenzi mema, katika kutoa salamu ya mwisho kwa mwili wa Marehemu Padre Evaristus Mushi, kwenye Kanisa la Minara Miwili Mjini Zanzibar, aliyefariki kwa kupigwa risasi na watu wasijuilikanwa Jumapili iliyopita.

Mwili wa marehemu Padre Mushi unapumzikwa leo Kitope Wilaya ya Kaskazini B, Unguja .Chanzo: wavuti.com

Views: 667

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dennis Lorishu Paulo on February 23, 2013 at 8:00

Mungu amlaze Padri Mushi mahala pema peponi. Na Mungu awatie ndugu zake nguvu

 

Comment by Wa Kimberly on February 20, 2013 at 21:32

R I P Padre Mushi.

Comment by MGAO SIAMINI,P on February 20, 2013 at 18:13

Nenda salama mtumishi wa mungu

Comment by ANGELA JULIUS on February 20, 2013 at 16:04

INASIKITISHA SANA TENA SANA

Comment by Agnes Nyakunga on February 20, 2013 at 14:15

mungu amlaze mahali pema peponi amina!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*