Tulonge

Zimbabwe: Mama aamua kufunga ndoa na kijana wake wa kumzaa. Tayari ana mimba yake ya miezi 6.

A Masvingo woman and her son have fallen in love with one another. And now they want to marry since the mom, Betty Mbereko from Mwenezi in Masvingo, is six months pregnant and expecting her son's child.

Mbereko (40), who was widowed 12 years ago, has been cohabiting with her first child, Farai Mbereko (23).

She confirms that she is six months pregnant and that she has decided it is better to "marry" her son because she does not want to marry her late husband's young brothers, whom she says are coveting her.

Betty stunned a village court last week when she said the affair with her son had begun three years earlier.

She said after spending a lot of money sending Farai to school following the death of her husband, she felt she had a right to his money and no other woman was entitled to it.

"Look, I strove alone to send my son to school and no one helped me. Now you see that my son is working and you accuse me of doing something wrong. "Let me enjoy the products of my sweat," she told the village court. :lol:

Farai said he was more than prepared to marry his mother and would pay off the ilobola balance his father had left unpaid to his grandparents.

"I know my father died before he finished paying the bride price and I am prepared to pay it off," he said.

"It is better to publicise what is happening because people should know that I am the one who made my mother pregnant. Otherwise they will accuse her of promiscuity."

But local headman Nathan Muputirwa says: "We cannot allow this to happen in our village, mashura chaiwo aya, (This is a bad omen indeed). In the past they would have to be killed but today we cannot do it because we are afraid of the police." He warned them to break off their marriage or leave his village.

They chose the latter and have left the village for an unknown destination.

Views: 963

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on March 1, 2012 at 17:42

hao mbuziiiiiii au binadamu, labda ni binadamu wenye hisia za kimbuzimbuzi maana wanyama ndio wenye tabia kama hizo, naona hata huko zimbabwe hao ndio walioandika kitabu cha kumbukumbu,

Comment by jemadari mimi on March 1, 2012 at 17:39

Chalii a.k a ILYA ebu nikulize kidogo ,mtoto atakayezaliwa hapo atawaitaje hao?

Comment by ILYA on March 1, 2012 at 16:58

Hahahaha,mama huyu bwana ni Nouma,ati:

"Let me enjoy the products of my sweat."

Comment by Mama Malaika on March 1, 2012 at 15:43

OMARY.... sikujua kama Wazanzibari na wa waoana ndugu kwa ndugu. Sheria hii UK inawashika sana wahamiaji walioko UK ambao makwao ni jadi kuoana ndugu kwa ndugu. Wahamiaji hao wengi wanaotoka nchi za waarabu (north Africa & Persian Gulf states) pamoja na nchi za bara India (Pakistan, Bangladesh, India & Sri Lanka).

 

Huyu mwanamke mwenzangu wa Zimbabwe hii ni chiboko... labda ana upungufu wa akili

Comment by Omary on March 1, 2012 at 11:28

hiyo sheria ya uk ingekuwa hapa kwetu TZ ingewamaliza wazanzibar wengi sana maana ndio kawaida yetu huku kuoa mtoto wa Aami yako mtoto wa Baba mdogo,mkubwa,shangazi full kuoana tena kwa raha zetu lol. ila huyu mama ni nyoko tena sio kidogo sasa mtoto atamuita Bibi? au mama na mchizi nae hafai japo kashawishika ila baada ya kupata ufaham kwanini asikatae?! inamaana gani kupata elimu? kama ni pesa angeweza hata kuugawa katikati mshahara nusu mama nusu yeye na mkewe.

Comment by manka on March 1, 2012 at 9:35

DUH HUYU MAMA MJAA LAANA KWELI!!

Comment by Dixon Kaishozi on March 1, 2012 at 9:02

Dah... nitarudi badae!!

Comment by Gratious Kimberly on March 1, 2012 at 3:26

Hukumu hutolewa na binadamu...cha ajabu, hata makosa hutendwa na binadamu!!.....hiii ni laana, ila hakuna binadamu mwenye haki ya kuhukumu hapo!! Huyu alim-manipulate mwanae tangu akiwa mdogo!!!!!!!!!......Dhambi mbaya mno!!

Comment by ILYA on March 1, 2012 at 1:48

Hawa wangelikuwa katika nchi kama  Iran,ni kunyongwa tu maana wanaeneza ufisadi na unyama katika ardhi.Hili ni kosa na pengine linaweza kuwa "kosa la kwanza ulimwenguni"  kuvunja rekodi.!

Comment by Mama Malaika on February 29, 2012 at 21:41

Angekuwa hapa nilipo wote wawili wangefungwa, sheria hairuhusu kufanya mapenzi au kuwa kimada na nduguyo hata awe mtoto wa baba mkubwa ni kosa. Sasa hii ya mama mzazi kupewa mimba na mtoto wake wa kuzaa imetia fora.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*