Tulonge

Don M's Comments

Comment Wall (100 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 15:51 on December 23, 2014, CHA the Optimist said…

Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.

At 20:45 on June 8, 2014, Mama Malaika said…
Asante sana kwa kutukumbuka. Tunashukuru Mungu tuko wazima. Pole na pirika, nami pia pirika nyingi. Wasalimie wote pande hiyo
At 1:50 on May 26, 2014, Tulonge said…

fichwa sana mjomba

At 16:00 on May 24, 2014, Alfan Mlali said…
Kwema kbsa kaka.habari za huko uliko..long time no see
At 18:41 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.

Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.

Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.

PamoJah

At 22:17 on July 4, 2013, Tulonge said…

Happy Birthday mfukuza upepo

At 10:13 on January 2, 2013, mtotomzuri said…

hodiii

At 14:59 on July 5, 2012, Mama Malaika said…

Happy Birthday!!

At 20:35 on June 29, 2012, Mama Malaika said…

Nimepita kukujulia hali. Vipi wazima wote?

At 12:10 on June 18, 2012, Gratious Kimberly said…

jeder hier, hat dich vermisst.....was treibest du???

At 10:18 on January 21, 2012, chaoga said…

poa poa kabisa...tupo promota..

At 14:07 on January 20, 2012, ANGELA JULIUS said…

MIMI MZIMA KABISA KAKA DON, SALIMIA FAMILIA HUKONA WEEKEND NJEMAAAA

At 23:30 on January 19, 2012, Mama Malaika said…

Sie wazima natumai nanyi wazima. Vipi kibaridi mwaka huu kimepuliza kama mwaka jana? Hapa sio kali sana

At 18:25 on January 16, 2012, ANGELA JULIUS said…

KUKUBEBA TUU AAAA WALA USIJALI HABARI ZA HAPA?, MISSSSSSJEEEEE WEWE?

At 9:34 on January 6, 2012, ANGELA JULIUS said…

NIMEPITA HAPA SHEMEJI YANGU MABO VP? NAKUTAKIA KHERI YA MWAKA MBONA KIMYA HIVO? WAPE SALAMU FAMILIA

At 20:42 on January 2, 2012, CHA the Optimist said…
Heri ya mwaka mpya. Kila la kheri kwa mwaka huu tulioanza.

PamoJah
At 10:54 on December 1, 2011, Gratious Kimberly said…

Danke....Ich auch. Ich freue mich!!

 

At 8:16 on December 1, 2011, Gratious Kimberly said…

"Deuschtland" meinte ich eigentlich

At 7:53 on December 1, 2011, Gratious Kimberly said…

Haaaa,   Ich wuste es, Ich wuste dass du in Deuschland bist!!!  Wooow!.   Ich wohne in Berlin, hauptsächlich.in der nähe von Merhingdamm....da ist meine haupt wohnung!! Wir können  irgendwahn trefen mein bruder!...es ist überhaupt kein Problem!!!Ich bin immer Swischen Berlin  und Frankfurt  ( pendeln) wegen Arbeit.....Am sonst Berlin ist mir zu hause. Wir können  kantakt tauschen wenn du nicht dagegen hast, und vieleicht sehen wir uns vor Näschtes Sommer.......! Ich  Wünsch dir was:  Bis bald  Don

At 20:22 on November 20, 2011, Mama Malaika said…

Salama hapa? Poleni na baridi

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*