Tulonge

Don M's Comments

Comment Wall (100 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 14:21 on May 23, 2011, Dixon Kaishozi said…
Asante sana.. Amani kwako pia!
At 21:52 on May 19, 2011, Mama Malaika said…

Ha haaa... naomba unisamehe kuhusu harusi, itabidi ile nyingine ijayo (Captain Harry) tusikusahau kukutumia mualiko. Wewe andaa suti na wifi naye aandae kofia maana si unajua tena. LOL....

Vipi wazima wote?

At 9:00 on May 17, 2011, Dixon Kaishozi said…
A-Town Shwari kabisa.. Kaubaridi na mvua za hapa na pale hazikatiki. Ila mambo mengine yote Tunamshukuru Mungu. Siku njema.
At 15:49 on May 16, 2011, Lucie said…
Niaje?
At 7:00 on May 11, 2011, Tulonge said…

Ni full shangwe baada ya kum-kill Osama

At 12:02 on May 9, 2011, Dixon Kaishozi said…
Habari za siku kaka? Siku njema!
At 21:33 on May 2, 2011, CHA the Optimist said…
AMANI IWE NAWE
At 22:56 on April 28, 2011, Tulonge said…
Eti jamani huyu aliyefumaniwa mbona siyo Chaoga kweli?hahaahhahahaaaaa  http://tulonge.ning.com/photo/fumanizi-1?context=latest
At 15:30 on April 28, 2011, Mama Malaika said…
Magere salama hapa? Pole na kazi
At 8:51 on April 15, 2011, Diana said…
Mimi ni mzima kaka,nashukuru kwa kunikumbuka.Wewe mzima?Nakutakia siku njema
At 20:41 on April 14, 2011, Belita said…
Mambo mengine Mungu anasaidia kaka. Vp wewe huko ulipo,mambo mazuri?
At 8:57 on April 14, 2011, chaoga said…
kabinti ketu kanaendelea vizuri sana nashukuru... uwanja wa fisi kama kawaida tunawanyima makelele tu...
At 21:34 on April 10, 2011, Belita said…
Karibu tena kaka,kwani ulipotelea wapi?
At 20:39 on April 7, 2011, Dixon Kaishozi said…
Salama kabisa Don! Shughuli za maisha, kazi na mengineyo tunakomaa nayo kama kawaida! Pole kwa kupotea kidogo, ila kikubwa ni uzima! Karibu, nakutakia wakati mzuri.
At 22:51 on April 6, 2011, Tulonge said…
Hapa kwema boss,tunaendelea kukomaa mdogo mdogo. Naona ulikuwa umefichwa na yule unayependa kumbeba begani hahhahaahaaa.2po pa1 boss
At 21:12 on April 6, 2011, CHA the Optimist said…
Don, mi mzima wa afya ndugu. Nakukumbuka sana LECTURER wangu. Mambo vp lakini?
At 22:20 on March 5, 2011, CHA the Optimist said…

Hi buddy!

You're requested to join PamoJah Foundation and become a permanent member. The Foundation is aiming at assisting Orphans and Vulnerable Childrens. Be a part of us in changing the world! PamoJah We Can Change The World, Let's Get PamoJah Now!

http://www.facebook.com/home.php#!/group.php?gid=119375004777263

__________________________________________________________________

 

Hello mpendwa! Unaombwa kujiunga na Foundation ya PamoJah na kuwa mwanachama permanent. Foundation itajihusisha na kusaidia Yatima na Watoto waishio katika mazingira magumu. Jiunge nasi katika kuibadili dunia. PamoJah tunaweza Ibadili Dunia, Tujumuike PamoJah sasa!.

http://www.facebook.com/home.php#!/group.php?gid=119375004777263
At 17:15 on February 4, 2011, Gratious Kimberly said…
Bro kwema hapa!!   Ebwana reply yako kwenye hoja ya " Wasanii kioo cha jamii" Safi sana...big up kaka!! Kama nina sura ya kuku basi kioo kita reflect the same image!...Na kama msanii nafanya vituko basi na jamii itamuona na vituko vyake!! ...Thanks Bro. Weekend njema!!
At 18:48 on December 10, 2010, CHA the Optimist said…

Lecturer mambo vp?

At 23:28 on December 4, 2010, Tulonge said…
Mambo mengine fresh m2 wangu. Sema vimajukumu vinakaba sana siku hz. mpe hi mkeo

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*