Tulonge

Don M's Comments

Comment Wall (100 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:22 on September 9, 2010, CHA the Optimist said…
DON Magere aka Lecturer
At 13:27 on September 8, 2010, Mama Malaika said…
Habari ya kwenu?
At 12:02am on September 08, 2010, mtotomzuri gave Don M a gift
Gift
yahoooooooooooo
At 21:43 on September 7, 2010, Diana said…
Basi anza kuweka cm yako Don na mimi niaweka yangu teh teh
At 21:08 on September 7, 2010, Belita said…
Teh teh teh! Kaka Don mimi natembea vibaya utadhani narudi nyuma,huyo mdada yupo juu sana. Umecheck hips zake lkn? Yupo full kila idara.
At 21:46 on September 5, 2010, Moreen said…
Kaka Don mambo vipi. Naona umepotea kidogo siku hizi. Umefichwa na nani kaka?
At 7:09 on September 4, 2010, Belita said…

At 23:19 on September 3, 2010, Diana said…
Teh teh teh! naona umenibamba kaka,ulikuja kuchungulia kwangu ili uone kama nimeweka No ya cm. Weka ya kwako ili nikiiona nikupigie teh. Mimi nipo fresh kaka. Siku njema.
At 14:27 on September 3, 2010, Alfan Mlali said…
Mkuu kwema kabisa hapa? Long tyme no see...hatimaye bwana mdogo Dismas katuleta Pamojah tena na safari hii tunahakikisha kijiji hakisambaratiki!
At 14:55 on September 2, 2010, CHA the Optimist said…
Mimi mzima wa afya LECTURER wangu.
At 8:59 on September 2, 2010, Dixon Kaishozi said…
Amani kwako! Nijambo la furaha kukutana tena! Siku njema.
At 20:16 on September 1, 2010, Diana said…
Mambo ya private baba alinikataza bana,mimi nataka uiweke hapa ukumbini kwako niichukue.
At 15:05 on September 1, 2010, Mama Malaika said…
Ha haaa... itabidi nimwambie NYAU au Chaoga wakupe tour wewe mgeni wetu. Habari ya siku tele? Nimefurahi kurudi ning. Facebook siependi
At 14:12 on September 1, 2010, Dada said…
Mdogo wangu Don M, hujambo wewe? Hbari y akupoteana toka enzi za kijiji kileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, vipi maisha? Wine umepata sema wataka ngapi niendelee kuzichachusha?
At 13:58 on September 1, 2010, chaoga said…
nimependa kaka huo msemo wako ha ha haa...
At 13:25 on September 1, 2010, Alfan Mlali said…
Welcome on Board mkuu!
At 20:34 on August 31, 2010, Diana said…
Tunahitaji kukupigia cm kaka,hiyo namba hatuielewi jamani
At 15:49 on August 31, 2010, Severin said…
Karibu mkuu hapa Tulonge
At 4:16 on August 31, 2010, Diana said…
Karibu sana Don
At 23:57 on August 30, 2010, Mtemi said…
Karibu sana muheshimiwa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*