Tulonge

ABD's Comments

Comment Wall (50 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:42 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu. Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote. Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto. PamoJah

At 21:52 on June 15, 2012, Tulonge said…

At 3:40 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 12:28 on December 2, 2011, Mama Malaika said…

Hamjambo hapa jamani? Mama kapita kuacha salamu

At 6:59 on August 1, 2011, Tulonge said…
At 10:49 on June 15, 2011, Tulonge said…
Happy Birthday ABD
At 16:37 on May 27, 2011, Gratious Kimberly said…
At 15:45 on May 26, 2011, Agnes Nyakunga said…
kaka ABd nipo majukumu tu ndo yametuzidia
At 15:55 on May 16, 2011, Lucie said…
Niaje?
At 2:30 on April 1, 2011, Lilian said…
Mzima ABD? Hebu nijuze kirefu cha ABD?
At 23:54 on March 24, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa? Mama kapita kukuachia baraka
At 22:25 on March 17, 2011, Severin said…
Am cul,mambo ni aje ABD
At 13:07 on March 16, 2011, Mama Malaika said…
Haiwezekani Chipumu kipigwe marufuku, itabidi nije nipige campaign ya nguvu kuizuia sirikali isikataze pombe yetu tukufu. Mababu zetu wamekuwa wakinywa tokea enzi za kale, hakuna pombe tamu kama chipumu, umewahi kukinywa lakini?
At 3:02 on March 16, 2011, Mama Malaika said…

Habari ya leo? Nimepita nami kuomba pesa ajili ya research ya chimpumu. LOL....

Picha yako imenifanya nicheke, sijui ndio anaomba ya kwenda kununulia pombe ki-ujanja?

At 22:53 on March 15, 2011, Tulonge said…
Pamoja sana kaka,amani kwako.
At 22:46 on March 15, 2011, Joan said…
At 22:38 on March 15, 2011, Severin said…
Pamoja kaka
At 19:23 on March 14, 2011, Gratious Kimberly said…
At 17:58 on March 14, 2011, Gratious Kimberly said…
At 17:34 on February 23, 2011, Tulonge said…
Mimi mzima ABD.naona ulifichwa siku kadhaa.Hamna noma boss,2po pa1

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*