Tulonge

Tulonge's Comments

Comment Wall (886 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 17:14 on March 21, 2014, Mama Malaika said…
Habari ya siku tele? Usione kimya, niko busy machimboni natafuta dhahabu nyeusi. Teh teh teh.....
At 12:01 on March 9, 2014, Gratious Kimberly said…

Nachukua ngalawa nakufuata pale kisiwani mbele ya  Mzee Jumbe...maaana naona net haikamati huko....tehhhhhh

At 1:16 on March 2, 2014, Mama Malaika said…
Salamu toka kwa Umaga!
At 22:15 on February 22, 2014, manka said…
mr. tulonge u hali gani wewe, nimekumiss mie.
At 23:04 on February 6, 2014, Wa Kimberly said…

Vp Mr.tulonge hujambo wewe.

At 13:57 on January 20, 2014, Mama Malaika said…
Nakufa na baridi kali (temp -4C). Mikono imeganda naomba nitumie soup ya makongoro ya ng'ombe na joto la Dar kidogo
At 21:19 on January 9, 2014, Mama Malaika said…

Hamjambo? Umaga anakusalimu

At 4:05 on January 1, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year!
At 16:15 on December 28, 2013, Mama Malaika said…
Kwenye profile pic ni mimi. Vipi wazima wote? Naja kula pilau la New Year
At 14:10 on December 16, 2013, Mama Malaika said…
Hodi! Nimepita ili unipeleke kwa mama Tabu for lunch. Njaa yaniuma
At 11:10 on December 9, 2013, Mama Malaika said…
Haha haa haa haa haaaa.... Unaogopa mangumi sio?? Usiwe mashaka kwani kwa utani kwake umefika, anapenda sana utani.
At 22:44 on December 8, 2013, Mama Malaika said…
Salama Mr Tyulong? Mdingi yuko kwa page yangu kaona picha ya Umaga uliyoiweka akaniuliza maana apenda sana Wrestling, nilivyo tafsiri nini umeandika acha aangue kicheko. Ha haaa haaaa haaaaaa
At 0:20 on December 5, 2013, Christer said…

Thanks Dogo. Miss u alot

At 23:16 on December 4, 2013, Smart Richard said…
Together we can broo!
At 23:14 on December 4, 2013, Smart Richard said…
Thank's much broo!
At 15:38 on November 20, 2013, Bonielly said…

mpe hi dogo na mama yake,

At 15:37 on November 20, 2013, Bonielly said…

angela alinikimbia kwahiyo nilikuwa na mawazo sana, kuna jamaa anafuga mbuzi kwahiyo angela kanitosa kwa sababu nafuga kuku, lkn nashukuru kwa sasa nimeshamsahau mtaniona kama kawa,

At 19:46 on November 15, 2013, Mama Malaika said…
Ha haa haa haa haaa.... Ukizingatia mdingi misuli imeaababishwa na mazoezi ya mchezo wa Rugby basi hapatoshi. Na hao mabaunsa wawe watano, mmoja ashika kichwa, mwingine mguu mmoja, mwingine mguu wa pili, mwingine mkono mmoja, mkono wa pili. Ha haa haa haaa
At 13:14 on November 14, 2013, Bonielly said…

habari mkuu

At 1:01 on November 14, 2013, Mama Malaika said…
Na haa haa haaa.... Na bora umejitolea kusindikiza, namleta muda si mrefu tena wote na mdingi wanahitaji kupelekwa Milembe.

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*