Tulonge

Tulonge's Comments

Comment Wall (886 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 0:34 on August 10, 2015, Mama Malaika said…
Mzee wa chabo.... Wazima wote?
At 22:23 on May 7, 2015, CHA the Optimist said…

Habari ya hapaaaaa! wahusika mpo kweli?

At 12:08 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Dismas mzee wa chabo. Teh teh
At 16:49 on January 30, 2015, Mama Malaika said…
Hujambo kijana? Nakuja unipeleke kwa mama Tabu
At 16:48 on January 14, 2015, Mama Malaika said…
Na huyo aliyekuficha anastahili kupewa 'Nobel Prize ya Kufichazii"
At 16:24 on January 14, 2015, Gratious Kimberly said…

Nimeripoti...................

At 15:38 on December 23, 2014, CHA the Optimist said…
Heri ya Krismas na Mwaka mpya wenye mafanikio tele. Ubarikiwe sana.
At 18:41 on November 23, 2014, Mama Malaika said…
Salama hapa? Nimepita kusalimia baada ya kupotea kijijini, shughuli zimenibabana sana
At 10:12 on September 15, 2014, Mntambo Mburi said…
Pole sana kwa majukumu
At 10:12 on September 15, 2014, Mntambo Mburi said…
Pole sana kwa majukumu
At 20:46 on September 14, 2014, Mama Malaika said…
Mbona kimya hivyo? Huyo aliyekuficha yaelekea ni balaa.
At 20:34 on July 13, 2014, Mama Malaika said…
Habari ya siku tele?
At 22:39 on June 8, 2014, Severin said…

Mkuu kimya sana siku hz, kulikoni?

At 20:42 on June 8, 2014, Mama Malaika said…
Asante sana kwa salamu. Mdingi anakusalimu. Samahani pirika zimenizidi ndi sababu nimepotea Tulonge. Family yote wazima??
At 13:57 on May 29, 2014, Don M said…

Nipo ila majukumu ndo mengi na muda unakuwa kidogo, lakini mara mojamoja huwa na wachungulia namna hii.

At 12:08 on May 26, 2014, Agnes Nyakunga said…

wapenda mambo, busy jamani tunasahauliana

At 10:24 on May 18, 2014, Dada said…

Nnawasalimu kwa jina la Muumba wa Ardhi na Mbingu na amani iwe kwenu nyote.

At 0:11 on May 18, 2014, Diana said…

Admin salama hapa?

At 17:55 on May 16, 2014, asteria kasaka said…
hiyo nimeipenda.
At 0:02 on April 1, 2014, manka said…
tehe , tulonge mzima wewe? nimekukumbuka shemu wangu.

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*