Tulonge

Tulonge's Comments

Comment Wall (886 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:20 on November 12, 2013, Zainabu Hamis said…

Habari katika nyumba hii

At 11:06 on November 11, 2013, Mama Malaika said…
Salama hapa?
At 20:08 on November 9, 2013, CHA the Optimist said…

Upo?

At 18:37 on November 7, 2013, Zainabu Hamis said…

habari ya mtaa huu?

At 8:31 on November 7, 2013, habiba mustafa mlawa said…
happy birthday
At 7:57 on November 1, 2013, ANGELA JULIUS said…

MDOGO WANGU ANY LEGAL ISSUES CONSULT WITH ME NASIKIA UNATAKA KUMUOA YULE BIBI WA KIDIGO WA PALE MACHAKANI ALIYEHAMA TOKA TUNGI.

At 16:31 on October 26, 2013, Mama Malaika said…
Lol.... Hata mie wakati mwingine vyanikaba ila sikomi na siachi kula. Vipi kazi bado kupungua?
At 20:12 on October 25, 2013, Alfan Mlali said…

Mkuu Asante sana kwa salamu za siku ya kuzaliwa. Be blessed.

At 16:59 on October 25, 2013, CHA the Optimist said…

Nuff Respect Nuff Love

PamoJah We Can help each other.

ONE LOVE ONE HEART ONE DESTINY!

At 8:27 on October 24, 2013, Mama Malaika said…
Za asubuhi Mr Tyulong! Karibu chai na viazi vitamu
At 8:25 on October 24, 2013, Dixon Kaishozi said…

We kijana... Na mimi nilizaliwa eti.. hahahaa!! Pole kwa late reply.. bado nilikua nanyonya.. hehehee!! Asante sana kwa salam. it was my day!!!! Nikutakie wakati mzuri. Pamoja sana Mkuu!

At 22:59 on October 20, 2013, manka said…
Nasubiri mahari au umeshafanikiwa kwa Angela? Teehe Sema tulonge u hali gani wewe? Salaam.
At 23:40 on September 29, 2013, Vadonde said…
Anakusalimia
At 10:30 on September 28, 2013, Vadonde said…

asante mpnz za masiku???

At 9:47 on September 28, 2013, Mama Malaika said…
Salama hapa? Naomba nitumie parachichi na stafeli kwenye Bluetooth
At 0:16 on September 26, 2013, Vadonde said…
Mambo
At 16:03 on September 25, 2013, ANGELA JULIUS said…

mdogo wangu naona umeweka kitu Kenya vp umepata hawara wa kenya nini?

At 5:28 on September 25, 2013, Mama Malaika said…
Lol.... Usiogope kuhusu picha. Wote tumetoka huko huko kwenye kupauka. Nasubiria utowekee picha yako ya utoto ulipokuwa unatambaa, mie nilishaweka umeiona.
At 22:07 on September 19, 2013, Wa Kimberly said…

Admi nakusalimu.

At 18:15 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu. Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote. Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto. PamoJah

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*