Tulonge

LATIFA MOHAMMED's Comments

Comment Wall (71 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:20 on January 18, 2011, Ramadhan Ahmard said…

Assalaam Alaykum Latifah!

Wanasemaje pande hizo?

At 22:14 on January 17, 2011, Diana said…

Dada wa mapenzi mzima?

 

At 2:35pm on January 17, 2011, Ramadhan Ahmard gave LATIFA MOHAMMED a gift
At 19:56 on January 12, 2011, Tulonge said…
Hhaahahahaaa usiogope Latifa, huyu mnakutana nae kwa ajili ya kujadili na kutfundisha cc kuhusu malavidavi ila hamta du chochote teh teh.Najua moyo wako upo kwa yule nanihii..............,ila inaruhusiwa kumuibia siku moja moja hahaahhaaa.
At 10:03 on January 12, 2011, Ramadhan Ahmard said…
U r welcom!
At 6:58 on January 12, 2011, Tulonge said…
Latifa nimekutafutia mkaka ambaye na yy ni mtaalam wa malavidavi kama wewe,nadhani mkikutana mtatufundisha mengi kuhusu mapenzi ya kweli teh teh.Mcheck hapa http://tulonge.ning.com/profile/RAMADHAN
At 6:16 on January 10, 2011, Mtemi said…
At 0:28 on January 10, 2011, Tulonge said…
Sawa Latifa,2po pa1.Mumeo anakulisha nn siku hizi,naona wazi nawiri tu dada.
At 8:38 on January 8, 2011, Tulonge said…

Hahahaaha huyo cc huwa tunamuita 'karunguyeye'. Si kama huyu,au cye?

 

At 21:36 on January 7, 2011, Tulonge said…
Eti "kidungumaria" ni nini?????? Alfani kasema nikuulize.
At 22:59 on January 6, 2011, rashid Ally said…
ok sawa tujitahidi wote
At 0:26 on January 6, 2011, rashid Ally said…
nambie maisha yanakwendaje Latifa
At 12:20am on January 04, 2011, rashid Ally gave LATIFA MOHAMMED a gift
At 19:07 on December 30, 2010, Gratious Kimberly said…
At 9:20 on December 23, 2010, Agnes Nyakunga said…
nambie best yangu upo cku zimepita hatujajuliana khali haya za majukumu, niko vema kabisa
At 3:35 on December 23, 2010, Tulonge said…
Hakuna noma,mwambie hata akufiche vp lazima nitakuiba tu siku moja.
At 21:22 on December 22, 2010, ABD said…
Thanks na nina imani umejiandaa vyakuto au vipi?
At 20:29 on December 21, 2010, ABD said…
zwani.com myspace graphic comments
At 22:42 on December 13, 2010, Tulonge said…

Hujambo mrembo? Mwambie mumeo apunguze wivu,naona amekuficha sna

© 2023   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*