Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Lucie's Comments
Comment Wall (132 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Mambo niaje hapa..
Lucie mzima dada?
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Nimepita kusalimia jamani.Siku njema
Habari ya hapa dada mzuri
Lucie wangu hujambo? Naona Severin anataka chapya fimbo za mchana mchana. lol...
Jamani mnisamehe bure ndugu yenu!
Zungusha Lucie, wala usimuogope Admin
LUCIE MY DEAR HABARI ZA HAPO ARUSHA, NIMEKUMISS MY DEAR
Habari ya siku nyingi.
((((((((( Lucie wangu weeeee ))))))))
Mambo?
asante sana salamu na kunielewa... muda naorudi nyumbani huko bongo kunakuwa usiku. Vipi unatunyima nini Arusha?
Poa mwaya Lucie, life inaendaje? Huku changamoto ndogondogo za maisha zinatupigisha mchakamchaka
Hi Lucie wangu! Samahani sikutimiza ahadi kazi imebana. LOL..... mzima lakini?
Umepotea sana mchumba, upo wapi siku hizi?
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2021 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service