Tulonge

Lucie's Comments

Comment Wall (132 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 21:09 on September 27, 2012, Wa Kimberly said…

woooh!upo mpendwa,ha haaa sina NEWS za yule  BOSS wetu,recho si yupo hapo arachuga hamjaonana tuu hapo kijenge juu, ha haaa

unatutengaje huku kijijini.

uwe na wakati mzuri wanguu.

At 17:32 on September 27, 2012, ANGELA JULIUS said…

lol nimekuelewa sana tuu nakuomba nipo chini ya miguu nisamehe sana tena sana my dear Lucie ngoja nitakupigia halafu tutaongea kimeru ha ha ha

At 14:17 on August 3, 2012, Mama Malaika said…

HAPPY BIRTHDAY!!! Have a good one, sweetie.

At 13:06 on June 9, 2012, Dixon Kaishozi said…

Hello wa mama, Mambo vipi? ebwana kweli. mshikaji aliyekuwa mtangazaji wangu kwa ile event ya sharobaro ni Dav Ngosha!! Kumber unampata siyo ? Sawa nitafikisha salam. Siku njema!!

At 21:32 on May 25, 2012, Severin said…

Mambo yako vipi dada?

At 13:49 on May 2, 2012, Mama Malaika said…

Lucie wangu nimekumiss sana.. next time break ya kwanza KIA na sio Dar ili nipate kukuona jicho kwa jicho. LOL...

At 11:46 on April 14, 2012, Wa Kimberly said…

shosti upooo,mssn uu.

At 15:44 on April 13, 2012, Mama Malaika said…

Ha haa haa haaa .... ujue mkwe wangu aliniahidi akapotea jiiiii. Sasa muache bora umenambia, namuondea huko aliko huku nimevaa kimjeshi. Ha haaa

Hata mie nimeku miss sanaaa. Next year naja Arusha, kaa mkao wa kula nawaleta na kina Malaika na baba yao.

At 10:46 on April 6, 2012, CHA the Optimist said…

Siku njema!

At 13:03 on April 5, 2012, Mama Malaika said…

Lucie wangu umepotelea wapi? Umenisusa hata mie?

At 1:21 on February 22, 2012, Severin said…

mambo?

At 14:41 on February 12, 2012, Jeath Justin Prosper said…

Hali iko nzuri dadaa....tulonge ...

At 0:22 on January 25, 2012, Severin said…

Lucie malizia namba yako basi.Upo poa?

At 21:13 on January 20, 2012, CHA the Optimist said…

Jambo my siti hati?

At 9:22 on January 10, 2012, Dixon Kaishozi said…

Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!

At 14:53 on January 6, 2012, Severin said…

Mambo Lucie, kwani ulipotelea wapi?

At 17:29 on January 3, 2012, Mama Malaika said…

Nimefurahi sana kukuona pale kibarazani kwangu na kwenye picha pia. Haya niambie, ina maana mkwe wangu ulishapiga teke? Nilikuwa nimepanga kwenda kufata mahari. Ha haa haaaa

At 20:49 on January 2, 2012, CHA the Optimist said…

Heri ya mwaka mpya. Kila la kheri kwa mwaka huu tulioanza.

PamoJah

At 17:38 on January 2, 2012, Alfan Mlali said…

Hahahahahahah! Sana tu ila umenitenga sana wangu!

At 3:18 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*