Bonielly eeee umemuona Mama Malaika alivo muongo misemo gani amejifunza toka kwangu mimi wala sijampa misemo, na hiyo aliyopata toka kwako ni ipi hiyo manake wewe ni hapa majuzi tuu ndo umepata nafuu usije ukawa umempa ile misemo uliyofundishwa na yule rafiki yako aliyekupokea kuleeee nilikokupelekaga ha hah a
Asante sana kunikumbuka na kuniachia misemo. Nime ndika yote kwenye daftari yangu ya misemo (kiswahili). Mingine nimejifunza toka kwenye comments za Angela. Ha haa haa...
Vipi mtoto hajambo? Naona kakua sana
Haaaaa usinichane mbavuu jembe....itabidi nije na wana-watoto wa mbwa kala mbwa ndo kitaeleka hapo relini...wanapiga vingweta alafu sisi tunawakung'utisha..tehethe
Asante kaka nimekusoma....Rogger that (copy that)...nitavuta waya hivi karibuni mkuu
Nimejaribu kuja kwako jana jioni tu saa 12...nikazuiliwa relini na nondo, mapanga...mwingine kaja na mbao...nikaona hapa kitanuka...mwenzio mbwera nikageuza.
Inabidi tutafute usafiri wa anga...ila pa kutua ndo shida maana viwanja vyooote vimejengwaaa...!
Hata nami nilisikitika sana kutokuonana na wewe pamoja na family yako. Niliwaambia kina Malaika kuhusu Mwl Bonielly kwa kiswahili cha mtaani, walifurahi na kuandaa notebook ya kuandika maneno toka kwa Mwl Bonielly.
Vipi mtoto na mama yake hawajambo?? Mtoto kaanza kutambaa? Wasalimie sana
Duh jembe ulipita sipo!!....Usipungue mwana..moja kama rula jeshi...alafu nakutafuta kinoma...jisaimishe mapema na beji ya namba zako za kambini, kabla kitengo hawajaingilia issue! salimia dogo na ampendaye....nasikilizia...
Bonielly's Comments
Comment Wall (69 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Jembeee vipi....salimia yoteee huko...bom bom wamepata jiko...mama ntilie kanuna...hahahahahaha
Pole na majukumu kaka Bonielly.
Naamini upo pouwa.
Bonielly eeee umemuona Mama Malaika alivo muongo misemo gani amejifunza toka kwangu mimi wala sijampa misemo, na hiyo aliyopata toka kwako ni ipi hiyo manake wewe ni hapa majuzi tuu ndo umepata nafuu usije ukawa umempa ile misemo uliyofundishwa na yule rafiki yako aliyekupokea kuleeee nilikokupelekaga ha hah a
UMENIMISS EEEEE NILIJUA TUUUU HATA MIMI NIMEKUMISS PIA.
MPE SALAMU MWANANGU NA MAMA YAKE OH NIMESAHU KUMBE UNA WATOTO WENGI KAMA TIMU YA MPIRA WAPE SALAMU ZANGU WOTEE.
Vipi mtoto hajambo? Naona kakua sana
kwema mkuu, kama vile ulifichwa? au Angela alikufungia ndani?
NIMEKUMISIJE RAFIKI YANGU LINI UNAKUJA KUNIPA SALAMU PALE KONA YA MSIMBAZI KWA MFUGA KUKU.
Haaaaa usinichane mbavuu jembe....itabidi nije na wana-watoto wa mbwa kala mbwa ndo kitaeleka hapo relini...wanapiga vingweta alafu sisi tunawakung'utisha..tehethe
Asante kaka nimekusoma....Rogger that (copy that)...nitavuta waya hivi karibuni mkuu
Jembe jembeee jembeeeeeeee......Narudiiiiiiii
Nimejaribu kuja kwako jana jioni tu saa 12...nikazuiliwa relini na nondo, mapanga...mwingine kaja na mbao...nikaona hapa kitanuka...mwenzio mbwera nikageuza.
Inabidi tutafute usafiri wa anga...ila pa kutua ndo shida maana viwanja vyooote vimejengwaaa...!
Hata nami nilisikitika sana kutokuonana na wewe pamoja na family yako. Niliwaambia kina Malaika kuhusu Mwl Bonielly kwa kiswahili cha mtaani, walifurahi na kuandaa notebook ya kuandika maneno toka kwa Mwl Bonielly.
Vipi mtoto na mama yake hawajambo?? Mtoto kaanza kutambaa? Wasalimie sana
Duh jembe ulipita sipo!!....Usipungue mwana..moja kama rula jeshi...alafu nakutafuta kinoma...jisaimishe mapema na beji ya namba zako za kambini, kabla kitengo hawajaingilia issue! salimia dogo na ampendaye....nasikilizia...
Bonielly hujambo wewe.
Wish you all the best jembe uzidi umri wa huyo kizee hapo...happy birthday
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2021 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service