Tulonge

Bonielly's Comments

Comment Wall (69 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 23:44 on April 22, 2014, Mama Malaika said…
Asante sana for comments kwenye picha. Vipi habari a siku tele? Mtoto hajambo?
At 12:23 on March 9, 2014, Gratious Kimberly said…

Jembeee    vipi....salimia yoteee huko...bom bom wamepata jiko...mama ntilie kanuna...hahahahahaha

At 16:24 on February 7, 2014, Mama Malaika said…
Salama hapa? Mkujuu hajambo?
At 23:03 on February 6, 2014, Wa Kimberly said…

Pole na majukumu kaka Bonielly.

Naamini upo pouwa.

At 11:07 on January 7, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year!
At 11:13 on December 9, 2013, Mama Malaika said…
Hongera sana. Kumbe siku zimekimbia na mwaka kafikisha, tena birthday yake yafatana na ya Malaika 27/11. Vipi uko Dar au Arusha?
At 17:32 on November 20, 2013, Mama Malaika said…
Asante sana kwa salamu. Msalimie sana mtoto na mama yake
At 16:23 on November 20, 2013, ANGELA JULIUS said…

Bonielly eeee umemuona Mama Malaika alivo muongo misemo gani amejifunza toka kwangu mimi wala sijampa misemo, na hiyo aliyopata toka kwako ni ipi hiyo manake wewe ni hapa majuzi tuu ndo umepata nafuu usije ukawa umempa ile misemo uliyofundishwa na yule rafiki yako aliyekupokea kuleeee nilikokupelekaga ha hah a

At 16:20 on November 20, 2013, ANGELA JULIUS said…

UMENIMISS EEEEE NILIJUA TUUUU HATA MIMI NIMEKUMISS PIA.

MPE SALAMU MWANANGU NA MAMA YAKE OH NIMESAHU KUMBE UNA WATOTO WENGI KAMA TIMU YA MPIRA WAPE SALAMU ZANGU WOTEE.

At 19:40 on November 15, 2013, Mama Malaika said…
Asante sana kunikumbuka na kuniachia misemo. Nime ndika yote kwenye daftari yangu ya misemo (kiswahili). Mingine nimejifunza toka kwenye comments za Angela. Ha haa haa...
Vipi mtoto hajambo? Naona kakua sana
At 19:28 on November 15, 2013, Tulonge said…

kwema mkuu, kama vile ulifichwa? au Angela alikufungia ndani?

At 16:03 on August 21, 2013, ANGELA JULIUS said…

NIMEKUMISIJE RAFIKI YANGU LINI UNAKUJA KUNIPA SALAMU PALE KONA YA MSIMBAZI KWA MFUGA KUKU.

At 20:07 on August 2, 2013, Gratious Kimberly said…

Haaaaa usinichane mbavuu  jembe....itabidi nije na wana-watoto wa mbwa kala mbwa ndo kitaeleka hapo relini...wanapiga vingweta alafu sisi tunawakung'utisha..tehethe

Asante kaka nimekusoma....Rogger that (copy that)...nitavuta waya hivi karibuni mkuu

At 12:41 on July 25, 2013, Gratious Kimberly said…

Jembe jembeee jembeeeeeeee......Narudiiiiiiii

Nimejaribu kuja kwako jana  jioni tu saa 12...nikazuiliwa  relini na nondo,  mapanga...mwingine kaja na mbao...nikaona hapa kitanuka...mwenzio mbwera   nikageuza.

Inabidi tutafute usafiri wa anga...ila pa kutua ndo shida maana viwanja vyooote vimejengwaaa...!

At 16:40 on July 22, 2013, Mama Malaika said…

Hata nami nilisikitika sana kutokuonana na wewe pamoja na family yako. Niliwaambia kina Malaika kuhusu Mwl Bonielly kwa kiswahili cha mtaani, walifurahi na kuandaa notebook ya kuandika maneno toka kwa Mwl Bonielly.

Vipi mtoto na mama yake hawajambo?? Mtoto kaanza kutambaa? Wasalimie sana

At 10:35 on June 7, 2013, Wa Kimberly said…
Uzima upo pande hizi??
At 12:24 on March 20, 2013, Gratious Kimberly said…

Duh jembe ulipita sipo!!....Usipungue mwana..moja kama rula jeshi...alafu nakutafuta kinoma...jisaimishe mapema na beji  ya namba zako za kambini, kabla kitengo hawajaingilia  issue!   salimia dogo na ampendaye....nasikilizia...

At 13:33 on January 3, 2013, Tulonge said…

At 10:51 on December 6, 2012, Wa Kimberly said…

Bonielly hujambo wewe.

At 17:47 on November 1, 2012, Gratious Kimberly said…

Weraaaaa  weraaaaaaa   leo gembembuzi-chadema hadi kijiwesamlini kivumbi.  nipitie bombom mtu wangu tupate ngumu..kuh koh kumeza.

Wish you all the best jembe uzidi umri wa huyo kizee hapo...happy birthday

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*