Tulonge

Bonielly's Comments

Comment Wall (69 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 9:14 on October 31, 2012, Christer said…

At 8:30 on October 31, 2012, Mama Malaika said…

At 15:55 on September 9, 2012, Dixon Kaishozi said…

Hivi we kijana upo kweli? ndo tuseme umehamia kenya moja kwa moja ? hehehee.. Siku njema!!

At 16:01 on July 26, 2012, ANGELA JULIUS said…

HALAFU WEWE MTINDO WA SIMU KUSHARE NA MKEO SI MZURI MBONA NUMBER YA SIRI YA ATM ACCOUNT BANK YAKO HUMPI NDO UNAJIFANYA UNAJUA SANA KUPENDA AU? HA HA HA HALAFU MWAMBIE KISWAHILI CHAKE CHA KIKENYA NIMEKIPENDA LOL

At 18:29 on July 25, 2012, Mama Malaika said…

Habari ya siku tele? Mbona kimya sana?

At 17:46 on July 25, 2012, ANGELA JULIUS said…

weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu nimekumissije lollllllllllllllllllllllllllllll

At 21:17 on May 11, 2012, Tulonge said…

Nipo mkuu, si unajua mambo mengi hapa kijijini tulonge.Tunapishana tu. Siku njema kaka, nashukuru kwa kunitembelea

At 14:41 on April 13, 2012, Mama Malaika said…

Habari ya hapa? Salimia shangazi

At 9:41 on February 9, 2012, Dixon Kaishozi said…

We kijana.. kwanini number uliyonipa ya zantel haifanyi kazi ? Nitarudi badae hapa. siku njema

At 0:59 on January 23, 2012, Tulonge said…

Mkuu naona bado hujarudi kutupa stori uliyo tuahidi pande hizi http://tulonge.com/photo/kweli-chaoga-alikua-mbabe-utotoni-mwake

At 9:43 on January 10, 2012, Dixon Kaishozi said…

Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!

At 21:46 on December 21, 2011, Tulonge said…

At 16:38 on December 20, 2011, Mama Malaika said…

Salama hapa? Mwambie Lisa naja xmas kula kuku wa kienyeji maana nimechoshwa na hawa wa kizungu.

At 17:03 on November 26, 2011, CHA the Optimist said…

Asante kwa maoni yako mazuri kuhusiana na "tulonge party". PamoJah

At 19:51 on November 6, 2011, Moreen said…
Nilipotea kidogooo, hapa wazima lkn?
At 12:23 on October 31, 2011, Tulonge said…
HAPPY BIRTHDAY
At 12:12 on October 31, 2011, Mama Malaika said…
HAPPY BIRTHDAY!
At 18:30 on October 28, 2011, Tulonge said…
Mwaka huu usipokuwa makini lazima uhonge hiyo gari yako, http://tulonge.com/photo/laugh?context=latest
At 15:28 on September 28, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa?
At 2:25 on September 10, 2011, Moreen said…
Nashukuru kwa kuja kunipa hi,na wewe mzima?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*