Tulonge

Bonielly's Comments

Comment Wall (69 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 21:49 on October 28, 2010, Moreen said…

At 17:34 on October 26, 2010, Wa Kimberly said…
vp Boniface,mzima wewe?
just salamu.
At 7:13 on October 17, 2010, Belita said…
Nashukuru kwa kunitia nguvu kaka Boni. Maana nimepata nguvu mpya ya kukomaa na life. tupo sote
At 1:46 on October 12, 2010, Belita said…
Hakuna noma Boni,tuombe Mungu cku 1 tutatoka tu kimaisha. Hakuna cha kukata tamaa wala nn.
At 1:12 on October 10, 2010, Belita said…
Maisha ninakomaa nayo hivyo hivyo,ila yananikimbiza kweli. Cjui ww huko? Nahic yanakuendea vzr sana.
At 0:00 on October 9, 2010, Tulonge said…
Duh! pole sana mzee Boni. Wabongo ni noma,hiyo kamera ulikatiza nayo maeneo ya Mazense nn? Maana pale ni soo,wanaweza kukuibia soksi wakati una kiatu mguuni na usigundue hahhaahaaaa

2po pa1 mkuu
At 7:28 on October 8, 2010, Tulonge said…
Hamna noma mkuu,nilishangaa kidogo kuona sijakutembelea hata siku 1 boss kama wewe. Nikaamua nije fasta maana kibarua changu kingeweza kuota nyasi haahahhaahaa. Amani kwako mkuu,ila picha sijaiona mwana.
At 0:39 on October 8, 2010, Tulonge said…
Ni aje mzee Boni,tupo pa1 mkuu
At 16:16 on September 14, 2010, Belita said…
Karibu kaka Boni

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*