Tulonge

Joan's Comments

Comment Wall (117 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 17:06 on January 26, 2012, ANGELA JULIUS said…

MAMBO POWA KABISA MREMBO WANGU LOL UMEPOTEA WEWE

At 14:51 on January 25, 2012, Mama Malaika said…

Asante kwa kuja kunijulia hali kibarazani kwangu, mbona umeondoka haraka haraka? Nilikuwa napika ugali wa mlenda bamia. Malaika anauliza lini utakuja tena?

At 22:37 on December 31, 2011, Tulonge said…

At 3:02 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 21:42 on December 20, 2011, Saint Pascal of Zanzibar said…

asante sana sana

At 17:32 on December 13, 2011, Wa Kimberly said…

joan vipi mambo,missn uu.

At 21:08 on December 4, 2011, George said…

Asante Dada Joan, ila ulikuwa umepotea kweli! Nimefurahi kukuona tena kijjini kwetu, vipi wkend imekwendaje?

At 12:55 on October 24, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa?
At 23:15 on September 28, 2011, George said…
Mbona wanitenga hivyo? Mimi mzima Joan.
At 16:04 on September 28, 2011, Mama Malaika said…

Ha haa haaa.... ujue mie nilisoma kipindi daftari na kalamu unapewa na mwalimu shuleni za bure. Pia chai/uji wa saa nne unapewa wa bure na mahindi ya kuchemsha shuleni. Ha haa haaa

Hiyo picha hapo juu ya uumbaji imenikumbusha Tabora. LOL....

At 15:19 on September 25, 2011, Mama Malaika said…
Ha haa haa... mie nipo ila nimebanwa na uzee. Vipi wazima wote pande hiyo?
At 13:51 on September 22, 2011, cecilia kayombo said…

nipo wangu vijimambo vdogo dogo vmekua vingi

other wise pamoja xana....

 

enjoy ur day

At 13:50 on September 18, 2011, cecilia kayombo said…
mie niko po
vp ww?
At 1:37 on September 16, 2011, Tulonge said…
MImi mzima, halafu uwe unanipa shikamoo. Mtoto mdogo halafu unaniambia sijambo, chapa sana wewe siku 1
At 14:55 on September 13, 2011, ANGELA JULIUS said…
NIMEPITA KUKUSABAH KWEMA SHOSTI?
At 21:58 on August 30, 2011, Gratious Kimberly said…
At 20:13 on August 30, 2011, Alfan Mlali said…
At 7:03 on August 29, 2011, Moreen said…
Kwema hapa jamani?
At 14:33 on July 27, 2011, Mama Malaika said…

At 22:54 on July 23, 2011, Tulonge said…
Aliyekuficha na alaaniwe katika Jina la Yesu Kristo aliye hai

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*