Tulonge

Joan's Comments

Comment Wall (117 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 22:36 on March 26, 2011, George said…
Kwema kabisa Joan, vipi wewe huko ni salama? na wkend inakwendaje?
At 22:23 on March 26, 2011, Silas A. Ntiyamila said…
Kwema kabisa!
At 11:13 on March 26, 2011, Hamed alhashmi said…
joan kweli mwalimu anaweza kufundisha sidhani
At 0:05 on March 25, 2011, Mama Malaika said…
Joan mama anakuita... ugali ulishaiva. LOL....
At 11:24 on March 16, 2011, ABD said…
Pamoja kwasan tu
At 0:49 on March 16, 2011, Mama Malaika said…

Nitafurahi sana maana napenda mlenda hakuna mfano. Nakula bamia na hasa na upenda ule mlenda wa kinyamwezi au kisukuma (nswalu) unatia karanga za kusigina sijui unaufahamu? Kisamvu na matembele yapo?

Itabidi nikishuka Dar kituo cha kwanza ni nyumbani kwako naja kula ugali. Ha haaaaa

At 18:10 on March 14, 2011, ABD said…
At 18:00 on March 14, 2011, Gratious Kimberly said…
At 17:18 on March 14, 2011, ABD said…
Hodi humu ndani jamani kwema lakini......nimepite kudodondosha salamu tu
At 3:25 on March 11, 2011, Mama Malaika said…
Asante sana kwa salamu Joan! Vipi waninyima nini hapo Dar? Mie naja kula ugali wa bamia
At 17:10 on March 10, 2011, ANANGISYE KEFA said…

asante sana na nimeisha karibia, tupo pamoja

At 22:56 on March 8, 2011, mohamed selemani kilumba said…
wewe nae kwamampozi kweli unaniacha hoi yani nipofungua tu nikaona pozi ulilokaa kijijini kwangu nilijua nyota yajaa imeniangukia hahahahahahahahahaha sikunjema mrembo
At 8:58 on March 8, 2011, Severin said…
Kuwa na siku njema
At 13:10 on March 7, 2011, BARAKA FRANCO CHIBIRITI said…
Habari yako, mambo vipi?
At 10:20 on March 7, 2011, likati thomas said…
thanks joan lakini nsamehe kwa kuchelewa kujibu coz nlikuwa out kidogo na mawasiliano. by the way nimebakisha keki kw ajili yenu guys!
At 8:39 on March 7, 2011, riziki matitu said…
Joan nashukuru kwa comment zako lakini hata wewe hiyo photo yako imetoka bomba hasa hayo macho kama yananiiiiiiiiiiiiiiiiita vile
At 21:44 on March 1, 2011, eddie said…

 

You are very welcome!

At 18:05 on February 25, 2011, Geophrey Mchunguzi. said…

Niambie joan ungekuwa wewe je? ungejitupa au?

At 14:38 on February 22, 2011, Geophrey Mchunguzi. said…
wapatikana pande gan? mi niko mza.
At 18:59 on February 21, 2011, Geophrey Mchunguzi. said…
mambo joan

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*