Nafikiri Dismas, Alfani, na Angela wapewe jukumu la kupanga siku ambayo itakuwa mwishoni mwa mwezi huu kwa ajili ya "TULONGE FUNGA MWAKA PARTY". siku ambayo kweli itakuwa ni nzuri kwa kila aliye Mtanzania. Ama kwa wale walio nje ya Dar na wangependa kushiriki, nafikiri itakuwa ni vyema na haki kwa wao kushauri siku ambayo wanafikiri ni nzuri. Dixon, Lucie, na Silas. Dada Mama M, najua uko PamoJah nasi kimawazo, ningependa/tungependa kusikia neno muhimu toka kwako.
Hahahhahaaa kweli wataugua, nimepamis sana Dom. Nikipata chance nitatokea huko, naikumbuka mitaa kibao ya huko, Chang'ombe, Chamwino,Chinangali,Mlezi,Kikuyu,Kisasa,Area C na D, Nkuhungu (Ma home place) nk. Salimia wote pande hizo
Silas A. Ntiyamila's Comments
Comment Wall (51 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Duuh! mimi nipo kaka, naona umepotea kweli, nani kakuficha kiasi hicho?
Pole sana mkuu, inabidi ukomae sana.Maana mziki wa kusoma huku unafanya kazi ni noma. Amani kwako kaka
2po pa1
Duuuh! hv wewe mtu bado upo hapa Duniani?
mbona hukutokea kwa party wewe!
Mambo, nimepita kukusalim baada ya kimya kingi. Ubarikiwe
Salama hapa?
Jamani wazima hapa?
mary salimia wewe jamani.its longtime.............
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2022 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service