Tulonge

Alfan Mlali's Comments

Comment Wall (238 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 10:42 on August 30, 2010, Ahlam Said said…
Asante sana kaka. mimi niko poa na natumai wewe u mzima pia.
At 20:41 on August 29, 2010, gapoz said…
Asante sana Kaka Alfan.
At 19:55 on August 29, 2010, George said…
Mkuu mambo vipi? w'end imekwendaje?
At 1:22 on August 29, 2010, Diana said…
Asante kwa kunitakia w/end njema. Na kweli ilianza vyema,maana dingi alinitoa mapene kibao tofauti na cku nyingine tehtehteheeee.
At 0:19 on August 29, 2010, Belita said…
Kaka kwema hapa kwako
At 22:20 on August 28, 2010, Tulonge said…
Unaikumbuka hii njemba? Ilikuwa inaiba kuku Mbagala enzi za Mwalimu hahaahahaaaaaaa

At 21:49 on August 28, 2010, Tulonge said…
Hahahahahahaahaaa mbona toka umeoa hutaki weka No ya cm? Weka tu ulijue jiji hahahahahaaa
At 1:51 on August 28, 2010, likoni nyau said…
mimi ni yuleyule shemeji yako uliyemtosa dada yangu.
At 19:48 on August 27, 2010, George said…
Kaka mambo poa kabisa! Mihangaiko tu ndio inabana siunajua tena yale maisha yetu pale yanavyo bana, lakini Mungu anasaidia. Vipi lakini kule maisha mapya?
At 19:17 on August 27, 2010, Moreen said…
Usinichekeshe Alfan, hiyo pic ina nn kwani?
At 19:05 on August 27, 2010, Tulonge said…
Nipo ok mkuu, naendelea kulisongesha. Naona shavu linazidi kukua tu, angalia lisipasuke.
2po pa1
At 21:22 on August 26, 2010, Mtemi said…
Shikamoo baba
At 12:44 on August 15, 2010, Tulonge said…
Kaka kamata simple hiyo

At 3:18 on August 15, 2010, lilian dismas said…
dah asnate kwa kupitia kwangu ubalikiwe sn na uwe na j2 njema
At 20:11 on August 10, 2010, Mtemi said…
Mhh naogopa nitatupiwa jela kupenda kitoto

waoo nice song naombaaaaaa ABA hao
At 20:55 on August 9, 2010, Mtemi said…
Mambo weka sura bas mrembo mie nifike bei hahha hahha shikamooo
At 8:23pm on August 09, 2010, Moreen gave Alfan Mlali a gift
At 8:22pm on August 09, 2010, Moreen gave Alfan Mlali a gift
Gift
sema check

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*