Tulonge

Alfan Mlali's Comments

Comment Wall (238 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:37 on February 1, 2013, Dunda said…

Nimemita mitaa hii 

Vp kwema hapa

At 22:44 on January 18, 2013, Wa Kimberly said…

Mtani wangu umenitengaje.habari za mwaka mpya.

At 12:56 on January 3, 2013, Christer said…

At 16:07 on December 18, 2012, CHA the Optimist said…

Habari za wote!

Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.

Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.

Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"

Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.

Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?

kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity

At 16:06 on December 18, 2012, CHA the Optimist said…

Heri ya Krismas na Mwaka Mpya--2013. Mungu akujalie kwa kila jambo.

PamoJah

At 5:35 on November 28, 2012, Mama Malaika said…

((((((( Alfan weeeee ))))))))

At 16:49 on November 1, 2012, Mama Malaika said…

At 10:06 on October 31, 2012, Christer said…

At 19:26 on October 21, 2012, Tulonge said…

Naona unaifukuzia siku ya kufa kwa speed kali sana.Happy Birthday

At 19:06 on October 21, 2012, Mama Malaika said…

At 18:54 on October 21, 2012, Mama Malaika said…

Heri ya kuzaliwa!! Mola akujalie maisha marefu yenye afya tele

At 17:43 on September 28, 2012, manka said…

mzima ndugu? salimia familia.

At 0:42 on September 9, 2012, Wa Kimberly said…

Heshima yako mkuu.

At 18:08 on August 2, 2012, ANGELA JULIUS said…

MGOSI WANGU NIMEPITA NIMEKUMISS MAMBO VP LAKINI, WAPE SALAMU WATOTO WANGU NA MAMA YAO.

At 16:02 on July 23, 2012, Zainabu Hamis said…

habari yako banya!

At 17:10 on July 21, 2012, CHA the Optimist said…

Mambo vipi wewe?

At 3:59 on June 5, 2012, Mama Malaika said…

Salama nyumba hii?

At 20:52 on May 9, 2012, Mama Malaika said…

mkwe salama hapa? Nomba uniambie kwenda wingi ndio nini?

At 7:27 on April 1, 2012, Tulonge said…

At 23:31 on March 22, 2012, Gratious Kimberly said…

Usikonde kamanda,  muda si mrefu, siku mbili hizi nawakilisha kama kawa!!   Mambo iliniepeleka   kambini kidogo!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*