Tulonge

Alfan Mlali's Comments

Comment Wall (238 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 20:38 on March 8, 2012, CHA the Optimist said…

Peace be unto you. PamoJah!

At 17:33 on March 4, 2012, CHA the Optimist said…
At 17:33 on March 4, 2012, CHA the Optimist said…
At 4:37 on March 1, 2012, Gratious Kimberly said…

Tumepoteana mkurugenzi...kwema hapa?hope mambo pande hizi yako nyangama  broo!

At 17:02 on February 28, 2012, Tulonge said…

Haya nimeweka zilipendwa kwenye play-list pale home page. Unaweza kukumbukia enzi zile

At 21:12 on February 19, 2012, Tulonge said…

Haya nenda kaone speech ya yule head-teacher yenye msemo "why a chicken drinks water and does not urinate"

http://tulonge.com/group/cheka-unenepe/forum/topics/craziest-headmaster-speech-in-assembly

At 3:01 on February 4, 2012, Tulonge said…

Nimekuwekea video ya lile chejo http://tulonge.com/photo/flexible-pool-player

At 2:15 on February 3, 2012, Mama Malaika said…

Hodi mkwe

At 23:44 on February 2, 2012, ILYA said…

Makini baba!!

At 18:41 on January 21, 2012, CHA the Optimist said…

Inakuje ndugu?

At 9:15 on January 10, 2012, Dixon Kaishozi said…

Toka mwaka umeanza sijapata nafasi ya kupita hapa. Natumaini mwaka umeanza salama. Tunamshukuru mola kwa kutujalia afya njema na kuendeleza gurudumu la maisha. Nakutakia Mwanzo mzuri wa mwaka. Stay blessed! Pamojah!

At 0:33 on January 4, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Mwambie Zahir nimemkumbuka sanaaa, ana miaka mingapi sasa?

At 16:50 on January 3, 2012, Lucie said…

Hahahahhaha ww siwez kukutenga, huoni nakuja hadi huku mitaani kukutafuta?

At 23:57 on January 2, 2012, Tulonge said…

Teh teh teh mimi nilikuwekea ili usikilize kolabo la Roma na Jmo. Kimtindo fulani kama m2 mzima Jmo kafunikwa.

At 20:48 on January 2, 2012, CHA the Optimist said…

Heri ya mwaka mpya. Kila la kheri kwa mwaka huu tulioanza.

PamoJah

At 17:02 on January 2, 2012, Lucie said…

Wifiii hahahahhahhaaa unakumbuka hli jina?, namis ww

At 1:48 on January 1, 2012, Gratious Kimberly said…

At 1:27 on December 24, 2011, Tulonge said…
At 9:52 on December 23, 2011, Vitus said…

At 3:24 on December 23, 2011, Gratious Kimberly said…

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*