Tulonge

Cecilia kayombo's Comments

Comment Wall (77 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 18:29 on January 28, 2011, Gratious Kimberly said…
At 21:41 on January 25, 2011, Severin said…
Mimi mzima sana,nilikua nakuwa wewe mrembo wangu.Maana siku nyingi sana umepotea.
At 4:41 on January 22, 2011, Severin said…
Wewe dada mzuri upo?
At 9:33 on January 18, 2011, Hamed alhashmi said…
asante kwa kunikubali rafiki
At 9:30 on January 18, 2011, Hamed alhashmi said…
asankwa kunikubali rafikite
At 7:29 on January 9, 2011, George said…
Dada Cecilia upo kweli? kimya kimezidi sana!!!
At 0:22 on November 9, 2010, Tulonge said…
Nahic yule mwenye tabia ya kukuficha ameanza tena.Safari hii sitamkemea kwa jina la Yesu, mwambie nitamuendea Sumbawwanga ohoo!
At 1:50 on October 24, 2010, Belita said…
Mimi mzima shosti,ukimya wako ulinitisha kidogo.Nikahisi kuna songombingo kati yako na shem,akaamua kukugombeza kuja tulonge teh teh teh
At 14:38 on October 21, 2010, Tulonge said…
Hahahahahahahaa haya mdada nimekuelewa,kumbe ni malaria yalikuwa yamekushika. Nadhani kuvu za Yesu zimefanya kazi. Karibu tena
At 22:48 on October 16, 2010, Tulonge said…
Wewe Cec mwambie huyo mtu aliyekuficha nikimkamata nitambamiza balaa. Mwambie akuachie HARAKA katika jina la Yesu.
At 21:40 on October 16, 2010, CHA the Optimist said…
PamoJah

At 21:33 on October 14, 2010, Belita said…
Shosti ukimya wako unanitisha.
At 7:22 on October 7, 2010, Erick Chikolongo said…
Wewe mrembo hujambo,nimejipitisha tu kupiga misele. Siku njema Cec
At 19:10 on September 30, 2010, Alfan Mlali said…
Nashukuiru sana kwa salamu zako, Naimani nawe ulikuwa na siku nzuri.....
At 14:19 on September 30, 2010, Tulonge said…
Kati ya hao nawasiliana na Cletus tu,hao wengine nilisha wapoteza. Kama itawezekana nitumie namba za kwenye inbox km hawatamaindi. Maana najua wengine wameshakuwa wake za mawaziri,namba zao hawagawi hovyo hahahahahahaaaa
At 6:04 on September 30, 2010, Mtemi said…
shega kabisa vipi alhamisi inasemaje kwangu imedodaaaaaaaa
At 21:26 on September 29, 2010, Moreen said…
Ila hata mimi nilikuwa napata tabu sana na kale kapicha,ulikuwa unatubania urembo wako dada. Mtoto mashalaa hahhhhahaaaaa,cku njema Cec
At 18:04 on September 29, 2010, Alfan Mlali said…
Kwema kabisa bi mdada, Nimeona siku haitaisha salama bila kupitia hapa!
Uwe na jioni njema.
At 14:48 on September 29, 2010, Tulonge said…
MImi nipo fiti kama mbwa wa polisi. Hivi kina Digna bado unawacliana nao? Au mlisha potezana?
At 18:32 on September 27, 2010, Alfan Mlali said…
Hiiiiii,Aswalamaaaaaa.........?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*