Tulonge

Cecilia kayombo's Comments

Comment Wall (77 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 15:18 on September 27, 2010, Diana said…
Basi hongereni sana kama hakuna uchawi siku hz, maana nasikia zamani hadi vifuu vlikuwa vinawaongelesha watu hahahaahaaa
At 6:06 on September 26, 2010, Mtemi said…
mambo ceci
At 21:26 on September 25, 2010, CHA the Optimist said…
Salama kabisa, karibu sana nyumbani kwangu.
At 21:12 on September 25, 2010, Diana said…
Mimi mzima kwa sana,wanasemaje pande za Tanga. Nasikia kuna wachawi sna huko.
At 20:15 on September 24, 2010, Tulonge said…
Haya mama ila usiwaogope sana kina Alfan na Ommy,cyo mafataki kwa sana hahhhahahaaa.
At 16:18 on September 24, 2010, KUNAMBI Jr said…
welcome cecy
At 11:19 on September 24, 2010, cecilia kayombo said…
@dismas nashukuru kwa ushauri will be careful,@moreen we acha tu mpendwa wadau wamelalamiiiiika ikabidi tu nidabilishe picha he he heeeee@severin thx 2 u too.
At 1:36 on September 24, 2010, Tulonge said…
At 1:32 on September 24, 2010, Moreen said…
Mzima Cec,naoa umeweka picha kubwa baada ya wadau kukulalamikia hahaa.
At 22:43 on September 23, 2010, Severin said…

At 19:55 on September 22, 2010, Alfan Mlali said…
Mambo vp Cesy, Nakutakia jioni njema.
At 19:32 on September 22, 2010, Tulonge said…
Hiyo picha ipo sawa sasa. Naona urembo wako unaonekana fresh sasa. Amani kwako,2po pa1
At 0:11 on September 18, 2010, Erick Chikolongo said…
Karibu dada Cec,ila hiyo picha yako umetubania. Mbona hatukuoni vzr
At 18:19 on September 17, 2010, Alfan Mlali said…
Welcome hapa Bi mdada..Mimi ndio Balozi hivyo naomba uripoti barazani kwangu...l

Amani kwako!
At 16:14 on September 17, 2010, CHA the Optimist said…
Usalama upo hapa?
At 14:22 on September 17, 2010, Diana said…
Dada CEC KARIBU SANA
At 11:42 on September 17, 2010, Tulonge said…
Karibu tulonge Cec.Uwe na amani mdada, ucwe na hofu. Mwalimu Isanzu hayupo hapa hahahaaaaa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*