Tulonge

Agnes Nyakunga's Comments

Comment Wall (95 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 3:47 on May 25, 2011, Severin said…
Mtoto mrembo upo?
At 0:55 on May 21, 2011, Tulonge said…
Kwema hapa jamani
At 22:59 on April 28, 2011, Tulonge said…
Eti jamani huyu aliyefumaniwa mbona siyo Chaoga kweli?hahaahhahahaaaaa  http://tulonge.ning.com/photo/fumanizi-1?context=latest
At 23:38 on April 24, 2011, Severin said…
Habari yako Agnes
At 15:17 on April 13, 2011, Agnes Nyakunga said…
kaka Dis jamani mbona unamsingizia kunambi, Kunambi akinificha mie mbona harudi kwake haaaa haaa, @ mama malaika nipo salama bila kumsahau kaka Severin ila umenisusa sana kakaangu!
At 0:37 on March 25, 2011, Mama Malaika said…
Jamani salama hapa?
At 22:20 on March 17, 2011, Tulonge said…
Mimi nipo dada Agnes,ila wewe ndo umepotea.Sijui nani kakuficha,au Kunambi? 2po pa1
At 18:22 on March 14, 2011, ABD said…

At 15:39 on March 14, 2011, ABD said…

Sister Agnes Mambo vipi habari za masiku vipi pande za huko home wote shwari? salamu kwa ndugu na jamaa

 

P1 ktk server hizi

At 22:32 on March 13, 2011, Severin said…
Mambo poa mrembo,upo wewe. Habari ya huko ulipo.
At 16:47 on March 10, 2011, ANANGISYE KEFA said…
Asante sana, nimeishakaribia.
At 14:49 on March 2, 2011, Agnes Nyakunga said…
ahsanteni wote kwa kuja kunipa hai huku kibarazani kwangu, namshukuru mungu niko njema kabisa, amani kwako kaka Dis
At 19:08 on February 24, 2011, Severin said…
Kwema hapa jamani?
At 17:30 on February 23, 2011, Tulonge said…
Mimi ni mzima dada Agnes,habari ya huko kwako.Kama vp jpili twende stone beach hahahahhahahaaaaa. Duh nimepamiss sana Mgl,natamani siku zirudi nyuma.
At 11:59 on February 23, 2011, eddie said…
Asante kwa kunikaribisha Agnes!
At 17:22 on February 22, 2011, ABD said…
zwani.com myspace graphic comments
At 19:36 on February 21, 2011, Severin said…
Upo dada Agnes? Habari ya siku tele
At 14:24 on February 21, 2011, Mama Malaika said…
Habari ya siku tele Agnes? Leo nimeamua kabisa kuja kibarazani kwako, sijui umepika nini maana njaa yaniuma sana
At 12:05 on February 18, 2011, Omary said…

pole sana Agnes kwa kutembea umbali kiasi hicho na ilikuwa usiku

ila hukujali ulikuwa unakimbiza roho yako kweli maisha matam pole sana

ndugu yangu hii ndio tz viongozi we2 wamezoea kupata hasara kwanza ndio wachukuwe hatuwa thabit ila kukinga ajali hawawezi wamedhamilia ku2punguza.

At 23:07 on January 23, 2011, Tulonge said…
Week end ulienda stone beach? Na asubuhi ulienda kanisani kule juu (Lutheran)?Au ulienda Roman Catholic pale karibu na Hostel za mabinti? Au ulienda kunywa ulanzi mtaani?Au ulienda Itengule kuwacheck mashosti zako hahhaahahaaaa.Amani kwako Agness.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*