Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
ILYA's Comments
Comment Wall (98 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Salama habari za Cku shehe...
Pa1 sana kaka, japo siku hizi sizioni zile stori zako
Happy birthday mkuu! Nakutakia afya njema uwe na mafanikio pia katika shughuli zako.
Kamata keki ya kisela hiyo. Achana na zile keki za kibishoo
Happy Birthday mkuu
Happy Birthday! Mkwe uko kimya sana, vipi familia wote wazima?
HERI YA KUZALIWA.. WAGUIYUKAYO OMWAKA. OMUKAMA AKUBELE!! PAMOJAH SANA!
ASALAAAM ALEIKUM, LAHABIBII UPO WEWE? MBONA KIMYA MAALIM WANGU UNANIWEKA WASIWASI
Habari za wote!
Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity
kaka asante saana nimerudi mkuu....nnilifichwa kweli kweli
Salama hapa? Ulipotelea wapi? Au ndio kwenye kusaka ng'ombe wa mahari? Salimia mtoto ma mama yake
Kaka!!!! Kama ni shemeji mwambie alegeze kidogo.. heheheeee.. Nimepita kuacha salam zangu kwako.. Pamoja sana!!
ndugu upoo?? kimya sana, salaam.
ndugu upooooooooooo.nakusalimu.
Kwema hapa?
Amani ipo hapa?
Salama hapa?
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2023 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service