Tulonge

Dixon Kaishozi's Comments

Comment Wall (235 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 21:05 on December 2, 2010, Tulonge said…
Ebwana sorry sana Dixon kwa kushindwa kwangu kujumika nanyi pindi upo Dar,ila hamna mbaya najua tutameet tu 1 day. Amani kwako mkuu
At 18:31 on December 2, 2010, Alfan Mlali said…
Mkuu nasikitika nilishindwa kutokea siku ile posta, next tyme tutonana!!!
At 14:54 on December 1, 2010, Emmanuel Kibassa said…
kaka mambo vipi? Karibu sana Dom upo pande zipi?
At 18:45 on November 25, 2010, Tulonge said…
Hamna noma kaka,kuna wadau wafuatao huko Dom. Namba zao zipo kwenye page zao. Pia waweza check picha zao.
-http://tulonge.ning.com/profile/Dada785?xg_source=profiles_memberList
-http://tulonge.ning.com/profile/EmmanuelKibassa?xg_source=profiles_memberList
At 2:19 on November 25, 2010, Mama Malaika said…
Salama hapa? Mkwe hajambo?
At 4:16 on November 16, 2010, Mtemi said…

At 21:12 on November 15, 2010, CHA the Optimist said…
PamoJah
katika kujenga kijiji!
One Love, One Heart and One Destiny
At 13:15 on October 30, 2010, Alfan Mlali said…
CHADEMA na Dr Slaa wana kura yangu hapo kesho!!!
At 7:34 on October 26, 2010, Tulonge said…
Hhaahhahahaaaa.Unajifanya kumletea mbwembwe kichaa.Atakuvunja miguu.

At 3:16 on October 21, 2010, Mama Malaika said…
Asante sana kwa salamu zako ulizoacha kibarazani kwangu. Vipi kazi na mihangaiko kwa jumla? Sie wazima ila baridi yetu ndio imeanza. Natumai huko Arusha joto bado halijaanza. Sasa gari langu vipi ndio umeamua kakaa nalo, nakuja June next year na usiponirudishia utaona cha moto. Msalimie mkwe
At 14:13 on October 19, 2010, Lucie said…
jamani Diskon mbona nilimwambia winnie awastue kwamba jr anakuja? uclalamike sn bwana ntaonekana mbaya lol
At 1:37 on October 19, 2010, Wa Kimberly said…
heyloooooo.nakupa hi m2 wangu.
At 5:43am on October 15, 2010, ully haroun tendela gave Dixon Kaishozi a gift
Gift
happy bday.god bless u 2day and always
At 21:44 on October 14, 2010, Diana said…
Happy birthday kaka Dixon,karibu tena kwangu. Naona ulipiga hodi ya nguvu ila sikuwepo
At 21:03 on October 14, 2010, Severin said…

At 15:05 on October 14, 2010, Tulonge said…

At 16:34 on October 13, 2010, Mtemi said…
Hahha haha naogopa nikipiga asije pokea Kamanda KOVA lol
At 4:09 on October 13, 2010, Mtemi said…
Naomba namba ya wifiiiiiiiiiiiiii
At 1:52 on October 12, 2010, Diana said…
Asant kwa kuja kwangu mamaaaa,nakutakia siku njema.
At 1:45 on October 12, 2010, Belita said…
Heloooooooooo asante kwa kuja kunipa hi Dixon,inaonesha ni jinsi gani unanijali.Msalimie sana mzungu wako.

© 2020   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*