Tulonge

Dixon Kaishozi's Comments

Comment Wall (235 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 8:53 on October 24, 2013, Mama Malaika said…
Usihofu for late reply. Najua uko busy kufurahia zawadi toka kwa mkwe wangu. Lol....
At 23:25 on October 15, 2013, Omary said…
H'B'day kaka Dixon kumbe umenitangulia 10 days only sio mbaya ila utaanza kuzeeka wewe lol Inshaa Mungu akupe umli mrefu na afya tele.
At 20:30 on October 15, 2013, Tulonge said…

HBD mkuu, kumbe na wewe ulizaliwa?

At 19:43 on October 15, 2013, Mama Malaika said…
Heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akupe maisha marefu yenye amani, furaha na afya tele.
At 22:03 on September 19, 2013, Wa Kimberly said…

Oyaaaaaa,niaje chalaangu wa chuga.

aiseeee nimekumisije.

At 18:39 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.

Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.

Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.

PamoJah

At 12:33 on July 25, 2013, Gratious Kimberly said…

napita   chaaaaaaaap....narudi kukupa   sitori   za lushago!!  sawa kyooma?

Greeetingssss

At 9:59 on June 27, 2013, Mama Malaika said…
Ha haa haa haaa.... Hayo mabomu siyataki. Nilisharudi UK, purukushani (corruption) za Tanzania siziwezi. Vipi weather Arusha kwa sasa?
At 20:04 on June 22, 2013, CHA the Optimist said…

sote ni ndungu watoto wa baba mmoja.

PamoJah

At 14:33 on June 14, 2013, Mama Malaika said…
Wazima hapa? Arusha watunyimani? Sie tuko Dar sasa
At 10:28 on June 7, 2013, Wa Kimberly said…
Salamu zangu zikufikie popote ulipo chalaangu wa Arachuga.
At 15:56 on February 27, 2013, Mama Malaika said…

Dixon ulifaa sana kuwa comedian maana unaniua kwa kucheka na baba Koku. Ha ha haa haaa haa haa haa haaaa

At 9:56 on February 27, 2013, Christer said…

At 10:13 on February 22, 2013, Mama Malaika said…

Salama hapa? Mama kapita njaa yauma sana, sijui ile mihogo ya kuchemsha na viazi ulimaliza yote jana? teh teh teh

At 12:23 on February 14, 2013, Hashim Said said…
Pamoja sana kaka!
Nimefurahi pia kusikia sauti yako kupitia ya maadishi. Nakutakia mchana mwema Dixon.
At 12:04 on February 14, 2013, Hashim Said said…
Dixon, sikuwepo hewani kwa muda mrefu! Vipi kwema ndugu yangu?
At 9:08 on February 14, 2013, Christer said…

At 16:23 on February 11, 2013, Mama Malaika said…

Salama hapa? Naona mnafaidi tu na kina Alfan na Lucie, mie nakuja na mizinga yangu toka Scotland. Ha haa haa haaa....

At 22:25 on February 8, 2013, Wa Kimberly said…

Niaje pande hizi.

At 14:32 on February 6, 2013, Mama Malaika said…

Marahaba! Nimeona picha yako, hata Obama haoni ndani. Ha haa haaa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*