Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
Duh! asante sana kwa mihogo na viazi yabidi nije na pilipili ajili ya hiyo mihogo kuchemsha na pia karanga za kukaanga ajili viazi vitamu. Mate yanidondoka hata kabla sijafika. LOL.......
Ha haa haaa... naona bora nikutafute forms kwenye makanisa ya waghana & Nigerians pale London ndio yatakufaa, uchungaji kwenye makanisa ya wenyeji weupe huku mashambani wanaotoa sadaka kwa msimu kusaidia maafa haukufai hata kidogo.
Dixon Kaishozi's Comments
Comment Wall (235 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Salama hapa?
HAPPY NEW YEAR!
Hongera sana sana kwa niaba ya Godbless Lema! Najua ulisheherekea sana huko. Nilikuwa na furaha sana kusikia kuwa amerejeshewa Ubunge.
PamoJah.
Heri ya Krismas na Mwaka Mpya--2013. Mungu akujalie kwa kila jambo.
PamoJah
Habari za wote!
Jamani ni muda hatujajuliana hali, hatujabadilishana mawazo na mambo kama hayo. Nafikiri ni wakati sasa kujumuika pamoja katika kuimarisha udugu, na urafiki wetu kwa kukutana pamoja kama ilivyokuwa ada.
Ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi kwa kupongezana kwa kufikia malengo yetu, ni siku ambayo tutakuwa tunafurahi na kutiana moyo kwa mambo ama mipango iliyopangwa ili iweze kutimia na mambo kama haya. Ki-ujumla itakuwa siku ya kupongezana, na kutiana hamasa.
Kauli mbiu iwe "KUKUTANA KWETU NI ZAIDI YA KUFURAHI"
Ni imani yangu kuwa wote mtaupokea ujumbe huu kwa hali chanya.
Hili ni wazo langu tu. Sijui wadau mnasemaje kwa hili?
kwa maoni gonga hapa:
http://tulonge.com/forum/topics/tulonge-funga-fungua-mwaka-party?xg_source=activity
waiiiiiiiiiiiii nakumisije.
Habari ya siku nyingi Dixon? Vipi leo nitapata mbege kweli? Ngoja niende kwanza kwa Dismas nikaonje wanzuki
Karibu
Duh! asante sana kwa mihogo na viazi yabidi nije na pilipili ajili ya hiyo mihogo kuchemsha na pia karanga za kukaanga ajili viazi vitamu. Mate yanidondoka hata kabla sijafika. LOL.......
mmeamkaje hapa? Nimepita kuja kunywa chai na vitumbua, sijui tayari mlisha pika? kama bado ngoja niende kwa Dismas kuwahi uji wa ulezi
kaka sijaenda kenya kaka sema ubize, uko poa chaliii angu,
Ha haa haaa... naona bora nikutafute forms kwenye makanisa ya waghana & Nigerians pale London ndio yatakufaa, uchungaji kwenye makanisa ya wenyeji weupe huku mashambani wanaotoa sadaka kwa msimu kusaidia maafa haukufai hata kidogo.
Ni aje chalaanguu.
waiiiiiiiiiiii nakumisije.
Hujambo? Nakuletea apllication form ya uchungaji wa kanisa
Amani ipo hapa?
habari yako banya!
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2021 Created by Tulonge. Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service