Tulonge

Dixon Kaishozi's Comments

Comment Wall (235 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 15:01 on July 23, 2012, ANGELA JULIUS said…

kibelaaaa nipo nimechacha bahari imechafuka kibelaaaa hata kunipa pole ya janga la kuzama kwa meli kule kisiwani hamna lol mtoto una roho mbaya weye utafikili nyongo ya mamba

At 13:56 on July 23, 2012, Mama Malaika said…

Marahaba! Asante kukatiza kibarazani kwangu, mbona umepita haraka au unaenda kwa Chaoga kwanza kukata kiu? Ha haa aaa...

At 14:53 on July 22, 2012, Wa Kimberly said…

Hapa vipi.

At 10:15 on July 2, 2012, ANGELA JULIUS said…

nashukuru kibelaaaa nitakusubili pale SHWAINI PUB

At 21:46 on June 30, 2012, Mama Malaika said…

Ha haa haa haa... waniuliza nilijuaje kumbi kumbi wakati najua? Humu mwangu namo yuko kumbi kumbi. Ha haa haaa....

 

At 20:29 on June 29, 2012, Mama Malaika said…

Salama hapa? Naona toka umefika dunia ya kwanza uko kimyaaaa. Au ndio mambo ya kufata na kuongozana kama sisimizi? LOL..... Ukipata muda usisahau kutukumbuka.   

At 8:51 on June 29, 2012, ANGELA JULIUS said…

kibelaaaa nyavu zangu zimetema yakheeee, mimi nasubili thawadi tuuu na usiponiletea natafsiri hiyo sentensi yako kwa wifi yangu ha ha ha

At 0:38 on June 29, 2012, Wa Kimberly said…

waiiiiiiiiiiiiiiii......ha ha haaa,anabana mpaka kivuli.imekulaje kwake,hajaonaga vivuli nini.ha ha haa

At 16:49 on June 28, 2012, ANGELA JULIUS said…

DIXSON MAMBO VP MBONA KITAMBO BEST MANAKE NILIKUWA NAVUTA WAYA NIKAKUMBUKA AHAAAAAA KUMBE UNAKULA KUKU WA KIZUNGUUUUU HE HE HE HE

At 21:57 on June 25, 2012, Wa Kimberly said…

ha ha haaa,Mbona ni pouwa,tena abane kwa sana tuuu,anaweza fanikiwa akabana mpaka penati.ha ha haaa.

At 15:05 on June 23, 2012, Wa Kimberly said…

waiiiiiiiiiiiiiiiiiii,potezea..............ha ha ha haaaa.

Nakumisije chalaangu.

At 19:52 on June 7, 2012, Mama Malaika said…

Asante sana kwa salamu. Naona siku utayokuja pande hii utakuta whisky zote zimekwisha kwai wageni wengi. Ha haaa..... Nipo na Tulla aliyekuwa Fotobaraza kaja nitembelea toka Germany.

At 18:50 on May 30, 2012, Wa Kimberly said…

Daaah!naona unazichanga hizo Dolla kimya kimya.

Stay well!!

At 14:45 on May 15, 2012, Wa Kimberly said…

Poa poa,dixon.piga mzingo m2wangu.ni kama naona miparangano ya hapo Arusha.

Hv  a  nice time.

At 12:28 on May 13, 2012, Wa Kimberly said…

Missn u.

At 8:30 on May 10, 2012, Tulonge said…

Pata maji ya uzima hapo

At 0:10 on May 1, 2012, Tulonge said…

Mkuu Dixon waweza pitia hapo chini tena, nimekuongezea maelezo

http://tulonge.com/profiles/blogs/mchangie-sajoki-anaumwa

At 17:39 on April 9, 2012, Severin said…

Mimi nipo Dixon, si unajua tena majukumu yananifanya nipotee. Lakini tupo wote kaka. Nashukuru kwa kunikumbuka.

Siku njema

At 10:46 on April 6, 2012, CHA the Optimist said…

Siku njema!

At 15:47 on April 4, 2012, Mama Malaika said…

Ha haa haa haaa... naona unammaliza DISMAS. Hamjui Denzel, huwa tukiwa bongo ni mshikemshike, hodi kwa wingi mlangoni. Ha haa haa

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*