Tulonge

Lilian's Comments

Comment Wall (81 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 15:03 on March 7, 2012, Mama Malaika said…

(((((( Lilian ))))))))

At 14:48 on March 7, 2012, Ramadhan Ahmard said…
Lilian nipo ila utu uzima na majukumu yanakaba sana, ila kama hivi twakumbukana. Kiukweli nimewa Miss sana na mnisamehe sana kwa kushindwa kuwa pamoja ktk kila hatua!
At 19:43 on February 5, 2012, Tulonge said…

Upo wewe binti?

At 22:37 on December 31, 2011, Tulonge said…

At 2:53 on December 23, 2011, Mama Malaika said…

At 8:12 on December 3, 2011, ANGELA JULIUS said…

lol my dear asante sanaaaaaaa na kweli umepotea mpenzi wangu. nakutakia week end njemaaaaaa

At 15:50 on November 4, 2011, ANGELA JULIUS said…
LILIAN WEEEE UPOO MPENZI LOL UMENITUPA SHOSTITO WAKO HAYA NILIKUWA NAPITA NIKASEMA HAITAKUWA MBAYA KAMA NITAACHA SALAMU HAPA BARAZANI KWAKO
At 14:31 on November 2, 2011, Elias Clement said…
Nawe pia asante kwa kuni accept.Nakutakia Siku njema yenye furaha tele.
At 11:02 on October 31, 2011, Raymond D. Kaele said…
Safi Lily, hope ni mzima!
At 14:06 on October 28, 2011, Mama Malaika said…
((( LILIAN )))
At 3:17 on October 22, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa?
At 23:14 on September 28, 2011, George said…
Upo Lilian? Napita kukusalimia tu.
At 15:31 on September 28, 2011, Mama Malaika said…

Salama mji huu? Namtafuta binti yangu aitwa Lilian sijui umemuona? Akija mwambie mama kamkumbuka sana

At 4:21 on September 28, 2011, Gratious Kimberly said…
At 8:35 on September 22, 2011, Thea said…

Ahsante sana dada Lily! Karibu nawe.

 

At 17:09 on September 13, 2011, Gratious Kimberly said…
asante kwa kunipitia last Friday....sikuwepo nilitoka kidogo.  Kwema huko lakini?
At 15:07 on September 13, 2011, ANGELA JULIUS said…
NIPO DEAR WANGU MAJUKUMU YA HAPA NA PALE
At 2:08 on September 8, 2011, Gratious Kimberly said…
At 10:25 on August 26, 2011, patrick naiman said…
thanx,hv a gooood day!!
At 17:21 on August 23, 2011, ANGELA JULIUS said…
HALOOO MREMBO WANGU MAMBO VIPI?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*