Tulonge

Lilian's Comments

Comment Wall (81 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 11:46 on August 20, 2011, Silas A. Ntiyamila said…

Sema mdada, mambo niyaje??

 

At 11:06 on August 5, 2011, Dixon Kaishozi said…
Asante kwa salamu dada yangu! Nakutakia wikiendi yenye furaha tele. Hug!!
At 7:42 on August 2, 2011, ANGELA JULIUS said…
MY DEAR LILY NASHUKURU SANA MPENDWA WANGU NILIKUWA NA  SAFARI ZA HAPA NA PALE YAAANI WEE ACHA TUU NDO MAMBO Y A KUTAFUTA CHAKULA CHA FAMILIA NIKUTAKIE SIKU NJEMA NA WAKATI MZURI
At 21:29 on August 1, 2011, George said…
Lilian nashukuru sana na tupo pamoja, nilikuwanimetoka kidogo sasa nimerudi.nakutakia siku njema.
At 17:28 on July 30, 2011, Dunda said…
Ahsante Lilian nami nakutakia siku njema yenye baraka tele
At 23:55 on July 29, 2011, Silas A. Ntiyamila said…

Thanks the same to you Madam

At 20:56 on July 29, 2011, Tulonge said…
Nice day 2 u Lily.
At 17:41 on July 29, 2011, Mama Malaika said…
Habari ya hapa? Nimepita kuja kula ugali na matembele sijui vimeiva?
At 18:40 on July 28, 2011, Alfan Mlali said…
At 18:25 on July 28, 2011, mohamed selemani kilumba said…
te.te.te.te.te.te. nimefurah kukuta ujume huu mpka mate yamenipalia shukurani sa nawewe pia
At 18:06 on July 28, 2011, Omary said…
Thanks Lilian nawe pia.
At 9:26 on July 28, 2011, Dixon Kaishozi said…
Asante.. Nakutakia Siku njema pia!!!
At 11:45 on July 18, 2011, Severin said…
At 9:53 on June 14, 2011, Agnes Nyakunga said…
Lilian nipo ndugu yangu majukumu mengi sana
At 10:57 on June 12, 2011, Jacob Kitalika said…
You are welcome Lilian
At 8:07 on June 8, 2011, Joan said…
Habari mrembo
At 15:19 on April 28, 2011, Mama Malaika said…
Salama hapa? Nakutakia siku njema
At 7:22 on April 16, 2011, George said…
Mmmhh! umeadimika sana L upo lakini, uwe na wkend njema.
At 4:53 on April 8, 2011, Gratious Kimberly said…
At 12:15 on March 30, 2011, stela james said…
asante dear,mambo mengine vipi

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*