Tulonge

CHA the Optimist's Comments

Comment Wall (275 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 8:11 on February 7, 2014, ANGELA JULIUS said…

Cha kaka umeadimika kama meno ya mamba, nakusalimu my dear nikikutakia siku njema na wakati mzuriiii salamu kwa wote homeeee

At 23:01 on February 6, 2014, Wa Kimberly said…

Cha the ...........,

PamoJah.

At 10:36 on February 5, 2014, Mama Malaika said…
Ha haa haa haa haaaaaa... Hiyo chiboko. Itabidi nijifunze kifipa maana siku nikisikia mfipa aniuliza "Wapitaa?" nabaki kufikiri taa inayowaka kumbe ina maana nyingine. Ha haa haa haaa..
At 12:23 on January 31, 2014, Mama Malaika said…
If you have a family that loves you, a few good friends, food on the table, and roof over your head. You're richer than you think!
Pamojah!
At 20:51 on January 29, 2014, Mama Malaika said…
Salamu za wajomba zako zimefika nao wanakusalimu, kuhusu wajomba zako kwenye vyombo vya habari umenifurahisha kwani kidume yeye ataka kuwa space scientist. Dada mtu ataka kuwa doctor (medicine) na ana bahati mara mbili kaalikwa Oxford University kuhudhuria programme ya watoto (pupils' aspiration). Kaka mtu kaalikwa mara moja tu. Siku wakirudi mapema shule nitakuunganisha kwa simu uongee nao. Ha haa haaa...
At 20:01 on January 29, 2014, Mama Malaika said…
Ha haa haa haa haa haaaa...... Umeniacha hoi kwa kucheza kuhusu safari ya Nyerere na Kawawa barani Ulaya. Naomba uniambie simulizi yenyewe kwani sielewi. Ha haa haa haaaa
At 15:31 on January 18, 2014, Mama Malaika said…
Salama hapa? Naona Dismas keshaanza kukufundisha ufisadi kwani shavu on your prof pic lajionyesha.
At 10:56 on January 7, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year!
At 19:50 on December 21, 2013, Zainabu Hamis said…

habar

At 19:50 on December 21, 2013, Zainabu Hamis said…

    

At 16:20 on December 19, 2013, Mama Malaika said…
Pamodzi!
At 17:30 on November 21, 2013, ANGELA JULIUS said…

MWENZIO JINA LAKO SASA HIVI LINANIWIA VIGUMU KWELI IN A PRONOUNSIATION LOL HA HA HA WALLAH SITANII

NAONA UMENISUSA SANA SIKU HIZI HUYO DEMU ULIYEMPATA NUKSI HAD UNASAHAU FAMILIA YAKO KWELI NI NOUMA

At 18:17 on November 19, 2013, Mama Malaika said…
WAO (We Are One)!
At 14:13 on November 15, 2013, Mama Malaika said…
Nipo! Habari ya bongo? Wajomba wana omba uwatumie joto kidogo ingalau nyuzi 6.
At 12:11 on November 15, 2013, Zainabu Hamis said…

          

At 10:30 on November 14, 2013, Mama Malaika said…
Itabidi nije unifundishe. Na haa haaa....
At 19:03 on November 12, 2013, Zainabu Hamis said…

CHA the great CHA the Omniscient. A man of people. How is it?

At 10:48 on November 11, 2013, Mama Malaika said…
Cha the Omniscience, a man of integrity!
At 10:43 on November 11, 2013, Mama Malaika said…
Mwashiwukeni???
At 9:44 on November 11, 2013, Tulonge said…

Nipo pouwa, hbr ya pande zp? upo dar kweli ww?

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*