Tulonge

CHA the Optimist's Comments

Comment Wall (275 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 9:35 on November 11, 2013, Dixon Kaishozi said…

Jah protect!!! PamoJah sana!! Nikutakie mwanzo mzuri wa wiki.

At 10:38 on November 10, 2013, Wa Kimberly said…

Nipo Cha.vipi habari ya wewe

At 19:52 on November 6, 2013, Mama Malaika said…
Lugha ngumu mweeee! Ha haa haaa... Basi wafipa wanaongea kama wawemba. Upande wa mama yangu wanatumia neno "wapita kuti" kuuliza waenda wapi?

Haya hii ya "wapi taa" nakuomba uirushe kwenye hii link
http://tulonge.com/group/cheka-unenepe
At 18:51 on November 6, 2013, Mama Malaika said…
Ha haa haa haa haa haaaaaa haaaaaaa.... Hapana, sijawahi kukisikia. Nimecheka hadi basi.
At 18:41 on November 6, 2013, Mama Malaika said…
Mwalinda uli? Mwatandala uli? Mmeshindaje? Teh teh teh teh... Kibantu kizuri sana
At 18:34 on November 6, 2013, Dixon Kaishozi said…
Amen! Ubarikiwe pia!!

PamoJah!
At 16:04 on October 28, 2013, Joan said…

Pa1 wangu

At 9:13 on October 26, 2013, ANGELA JULIUS said…

ndugu kwa misemo tuu sikuwezi haya lini tunaonana manake umepotea utafikili nyongo ya mamba.

At 20:44 on October 25, 2013, Tulonge said…

Pa1 mkuu

At 8:35 on October 24, 2013, Dixon Kaishozi said…

Amani kwa kaka Cha!! kiukweli majukumu ya hapa na pale yanatupoteza!! Nimekumis sana ndugu yangu. Nikutakie wakati mzuri na siku njema!!

At 6:39 on September 20, 2013, Mama Malaika said…
Ama kweli kaka angu hunipendi, utafanya mwingereza anipige boot. Lol.....
Tatizo hupokei simu, sijui nani kakuficha kiasi hicho uasema umekwa ndani? Si utani, nilikupigia kukusalimia.
At 7:44 on September 17, 2013, Joan said…

Hi Cha

At 12:00 on September 7, 2013, Tulonge said…

Habari ya kufichwa mtu mzima? Naona umeibuka ghafla? ulikua wapi? Au ulienda kijijini kwenu kuongeza mke wa 3 kama ulivyoniambia

At 11:27 on September 7, 2013, Alfan Mlali said…

Nipo mkuu..Issue zinakwendaje?

At 20:52 on July 10, 2013, Mama Malaika said…

Sie wazima sijui wewe... naona tunapishana tu,...nilikuwa Dar siku chache sana, nisamehe haukuonana.

At 7:00 on June 26, 2013, Tulonge said…

Hamna noma mkuu, 2po pa1

At 21:47 on June 25, 2013, Mama Malaika said…
Nime kujja kukuchukua, wazima wote kaka yangu?
At 10:30 on June 7, 2013, Wa Kimberly said…
The Great Cha.PamoJah!
At 16:37 on March 7, 2013, Mama Malaika said…

Habari ya siku tele?

At 15:02 on February 11, 2013, Dixon Kaishozi said…

Salama pande hizi kaka ? Siku njema!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*