Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Severin's Comments
Comment Wall (285 comments)
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge
Severin chizi kumbe upo? hbr ya siku
Ww chizi upo?
HAJAKALIA KITU NI MAUTUNDU YAKE TUU YA SHOW ANGEKUWA MTUPU LABDA NINGESEMA KITU
umeonaaaa eeeeeeee mambo nayaweza. mdada namwona anasikilizia kwa raha zake
MI sijambo,vipi wewe.
Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.
Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.
Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.
PamoJah
Ha haa haa haaa.... huyu Tulonge siku hizi anakunywa wanzuki sana. Ha haa haa...
Mama kapita kuacha salamu
Hahhahaahha unajua we ni chizi eeeh sawa bwana wacha nikizungushe kwani n nn
doh umepotelea wapi wewe?, hicho kiuno hapo nilikuwa nakizungusha nawahi kidate ha ha ha
Hahahahahahaha mambo hyao Severine wewe!!! Shauri yako. Vipi hali za siku kibao?
Nimepita kuja kunywa togwa, sijui umeshatengeneza?
mi nipo
Welcome to
Tulonge
Sign Up
or Sign In
Or sign in with:
© 2021 Created by . Powered by
Badges | Report an Issue | Terms of Service