Tulonge

Severin's Comments

Comment Wall (285 comments)

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

At 12:06 on January 31, 2015, Mama Malaika said…
Severin Mzee wa Kazi mzima weye??
At 1:18 on March 2, 2014, Mama Malaika said…
Mama kapita kukusalimu
At 11:14 on January 7, 2014, Mama Malaika said…
Happy New Year! Umepotelea wapi?
At 23:16 on November 11, 2013, Diana said…

Severin chizi kumbe upo? hbr ya siku

At 16:52 on November 6, 2013, Mama Malaika said…
Wewe chiboko! Haaaa haaa haaa haaaaa... Haya subiria jibu toka kwake
At 12:29 on November 4, 2013, Mama Malaika said…
Severin nimekuvulia kofia na kunyanyua mikono juu kwa hiyo picha ulio acha kwa Angela
At 0:09 on November 3, 2013, Lilian said…

Ww chizi upo?

At 16:55 on November 1, 2013, ANGELA JULIUS said…

HAJAKALIA KITU NI MAUTUNDU YAKE TUU YA SHOW ANGEKUWA MTUPU LABDA NINGESEMA KITU

At 7:16 on October 31, 2013, ANGELA JULIUS said…

umeonaaaa eeeeeeee mambo nayaweza. mdada namwona anasikilizia kwa raha zake

At 22:00 on September 19, 2013, Wa Kimberly said…

MI sijambo,vipi wewe.

At 18:37 on September 6, 2013, CHA the Optimist said…

Amani iwe kwako ndugu! Kila Siku, Saa, Dakika na Sekunde ya uhai wako mkumbuke Mungu wako hasa kwa kutenda mema. Inawezekana usiende Msikitini au Kanisani lakini unatenda yale yaliyo mema; mfano kutoa chochote ulichonacho kwa yatima na watoto waishio mazingira magumu.

Ungana nami kwa kusema NDIYO kwenye link hiyo hapo: http://tulonge.com/forum/topics/sema-ndiyo-kwa-watoto ukiambatanisha (attach) ujumbe wowote.

Mimi binafsi nasema tuwapende na kuwajali watoto.

PamoJah

At 9:24 on July 5, 2013, Wa Kimberly said…
Mkaka hujambo wewe.
At 8:52 on February 21, 2013, Mama Malaika said…

Ha haa haa haaa.... huyu Tulonge siku hizi anakunywa wanzuki sana. Ha haa haa...

At 16:37 on February 15, 2013, Mama Malaika said…

Mama kapita kuacha salamu

At 13:13 on February 14, 2013, Lucie said…

Hahhahaahha unajua we ni chizi eeeh sawa bwana wacha nikizungushe kwani n nn

At 14:45 on February 7, 2013, ANGELA JULIUS said…

doh umepotelea wapi wewe?, hicho kiuno hapo nilikuwa nakizungusha nawahi kidate ha ha ha

At 10:52 on February 7, 2013, Georgia Mushashu said…

Hahahahahahaha mambo hyao Severine wewe!!! Shauri yako. Vipi hali za siku kibao?

At 2:34 on January 8, 2013, letty peter said…
Mambo mpendwa!asante kwa keki tamu lol!heri ya mwaka mpya pia!kila la heri!
At 19:20 on October 18, 2012, Mama Malaika said…

Nimepita kuja kunywa togwa, sijui umeshatengeneza?

At 13:40 on October 11, 2012, Lucie said…

mi nipo

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*